Spotify rasmi Afrika Mashariki

Spotify rasmi Afrika Mashariki

Ni mfumo wa maisha tu Mkuu.. mfano mie nimeamua maisha yangu kuwa niweke Family Plan ya Netflix na Apple Music

Nikaingia gharama pia ya Smart TV na soundbar yake

Sanjari na hilo nimeweka Xbox 360

Nilichogundua ule ulevi, uzinzi usio na namna na safari za Tips kipindi hicho zimepungua sana mnoo

Kwa mwezi nina save sana, ndoa inaimarika sana kwa maana naonekana Baba Bora etc

Nikimaliza kazi ni kwenye baby walker yangu nampitia wife home...ni routine nzuri sana

Mfano Leo tunamalizia Ozark kisha tuanze Fargo
Safi! huu ndio uwajibikaji katika yanayo kuhusu.
 
Nimeshatumia Music platforms tofauti tofauti ...

Apple: Ndio bora kwangu kwa muda wote, ina miziki mingi kuliko zote katoto sound cloud sema ubaya wa soundcloud kuna ma cover mengi, UX/UI yake nimeipenda everything kiko intact, obviously its Apple so we all know what capable hawa jamaa walivyo

Deezer: baada ya kuwa chini Ya Access Industry naona kama imekuwa domant fulani, ofcourse wako vizuri sema free account yao ina matangazo yanayoboa ambayo sio wa makampuni ni ya kwao wenyewe

Spotify: Ni nzuri baada ya Apple sema wao nawapa 70 apple nawapa 90 sababu Apple wana Miziki Mingi

Soundcloud:Ya Hovyo wana miziki mingi lakini hakuna kitu, ma cover mengi sana mfano uki search wimbo wa Otherside wa Red Hot Chilli Papers zitakuja nyimbo kama 100 na zote ni Covers wajerumani wameshindwa sema mtu yeyote unaweza post wimbo wako so wameshindwa control submission ya nyimbo

Audiomack: sijui inapendwa nini hakuna kitu

Anghami: Nzuri sana wameweza kutengeneza soko lao la Arabic speaking market na wameliteka

Boomplay: Ujanja janja mwingi, nilianza kuwaponda from very begining 2015, kuingia kwa Apple na Spotify Africa kuta shake sana soko lake sababu westerns they means business...
 
C.T.U kwa sasa SoundCloud submission ikiwa na copywrited content hushushwa. Sema SoundCloud imekuwa sehemu ya breakthrough kwa EDM/Rock na American Pop musicians.

Wimbo mmoja wa EDM unaweza kuta umetengenezewa mixes na wasanii wengi.

Kwa sasa SoundCloud inafikia hatua za mwisho kuanza kulipa watengeneza maudhui.
 
C.T.U kwa sasa SoundCloud submission ikiwa na copywrited content hushushwa. Sema SoundCloud imekuwa sehemu ya breakthrough kwa EDM/Rock na American Pop musicians.

Wimbo mmoja wa EDM unaweza kuta umetengenezewa mixes na wasanii wengi.

Kwa sasa SoundCloud inafikia hatua za mwisho kuanza kulipa watengeneza maudhui.
Najaribu kuangalia kama naweza chukua hii idea na ku integrate na Dunda
 
Najaribu kuangalia kama naweza chukua hii idea na ku integrate na Dunda
Hii safi mkuu, naamini itawekwa katika reality. Dunda ✊🏽

#WeNeedPayPal #TunatakaPayPal #TufunguliePayPal
 
Back
Top Bottom