Spotify rasmi Afrika Mashariki

Spotify rasmi Afrika Mashariki

Unatakiwa kulipia starehe yako kiongozi. Kma huwezi we fanya unachoweza huko ila usikitangaze hadharani maana sikuhz ni noma unaweza pewa kesi hvi hvi wakatumia hchi kitu kukufunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Washindwe kuwafunga wakina DJ Mwanga na site zao ziko active na kila mtu anaweza kuona uje kunifunga Mimi.

Jide mwenyewe katoa album ila ukiingia huko unaukuta mzigo wote. Sasa sisi tufanyaje


Movie zenyewe watu wamejikita uTorrent
 
Unatakiwa kulipia starehe yako kiongozi. Kma huwezi we fanya unachoweza huko ila usikitangaze hadharani maana sikuhz ni noma unaweza pewa kesi hvi hvi wakatumia hchi kitu kukufunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kesi hivi hivi! Hilo ni kosa na anastahili kuchukuliwa hatua.

Analipia michango ya harusi lakini anashindwa kulipia starehe/mapenzi yake yanayotokana na haki za watu.
 
Sasa ni rasmi Spotify inapatikana Tanzania na Afrika Mashariki.

Baada ya miaka kadhaa wapenzi wa muziki na maudhui ya sauti, waliokiwa wakisubiri kwa hamu ujio wa Spotify Afrika na Afrika Mashariki sasa ipo huru kutumika.

Spotify Afrika inapatikana mataifa yafuatayo Algeria, Botswana, Burkina Faso, Cape Verde, Masr, Gambia, Ghana, Guinea-Bissau, Kenya, Lesotho, Liberia, Malawi, Mali, Morocco, Namibia, Niger, Nigeria, São Tomé and Príncipe, Senegal, Seychelles, Sierra Leone, South Africa, Tanzania, Tunisia, Uganda.

Yah nilijua soon itaanza kupatikana nlipata mchongo wa kuifanyia testing kupitia freelancing two weeks ago kabla ya kuwa launched
 
duu hii ni sawa na kuletewa dem geto kabisa 🤣 🤣 alafu kumbe uko na mwingine kitandan taar kuanza mashambulizi! maisha yazidi kua matamu, na bei nimeona waweka kama ya apple music kabisa, sasa daa kule kuna lyrics display huku hakuna, itunes kule iko slow lakini spotify iko fasta sana kwenye ku search,spotify ata net ikiwa chini unaweza stream apple music inahitaj net ya uhakika! nimekua kama fisi kotekote nataka!
 
Umetisha mkuu hii app nmeisaka miaka miwili sasa, nlinunua simu ikiwa installed ila nkashindwa kurejister.
Saiv mambo ni[emoji91][emoji91][emoji91]
Screenshot_20210226-183833_Spotify.jpg
 
Kumbe, hope walikulipa maana mimi malipo yalikuwa ya kawaida
Hapana, malipo ya kawaida pia. Mmoja ya wahusika (ni Dev.) aliyekuwa na jukumu la kuondoa restrictions ndiye aliyefanya-connection.

Nimekuwa nikishiriki BETA na Trials, lakini nimejaliwa macho ya kuona masuala na kufix kwa haraka so huwa na contribute katika jamii husika.

Kupitia www.twitter.com/isajorsergio natoa alert mbalimbali mapema.
 
Hii ina-range TZS 100K ni affordable mkuu.
nnayo mkuu, nilikua natumia kwa project flaniflani, ila kuja kuchimba zaidi, nikajua naweza add Skill ya Spotify na ku play music kwa voice command

sema shida hii alert bado ipo, so siwezi add Spotify skill

alert.PNG
 
nnayo mkuu, nilikua natumia kwa project flaniflani, ila kuja kuchimba zaidi, nikajua naweza add Skill ya Spotify na ku play music kwa voice command

sema shida hii alert bado ipo, so siwezi add Spotify skill

View attachment 1712550
Alexa Echo Dot 3 sina hakika! Maana supported devices ni;-
  • Amazon Echo
  • Amazon Echo Dot
  • Amazon Echo Spot
  • Amazon Echo Show
  • Amazon Tap
  • Amazon Fire TV Cube
  • Facebook Portal / Portal+
  • Sonos players
Jaribu kupakua aplikesheni ya Alexa kisha Settings > Music & Podcasts > Link account to Alexa | Ingia katika akaunti yako ya Spotify. Kupitia Alexa App chagua Spotify kama default music services.

Hakikisha wakati wa kuongea maliza na Spotify. Mfano;- Alexa play JamiiForums podcast on Spotify.

MUHIMU! Ingia kupitia tovuti Spotify kisha fanya maboresho ya akaunti yako (Profile) kwa kubadili taifa lililopo na kuweka taifa ulilopo litakuwa limejumuishwa.

Usitumie VPN wakati wa maboresho haya.
 
akaunti yako (Profile) kwa kubadili taifa lililopo na kuweka taifa ulilopo litakuwa limejumuishwa.
nimefanya ivi kwa account yangu ya Amazon, now imekubali fresh,

ila siwezi command voice kwa, 'Alexa, play run this town by Jay Zee' kupitia Spotify, instead inapiga nyimbo yoyote ya Jay Zee

labda wanataka niwe Premium user wa Spotify ?

mara wana nidrect kwa 'Apple Music' ambayo ni around $10 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom