Spotify rasmi Afrika Mashariki

Spotify rasmi Afrika Mashariki

nimefanya ivi kwa account yangu ya Amazon, now imekubali fresh,

ila siwezi command voice kwa, 'Alexa, play run this town by Jay Zee' kupitia Spotify, instead inapiga nyimbo yoyote ya Jay Zee

labda wanataka niwe Premium user wa Spotify ?

mara wana nidrect kwa 'Apple Music' ambayo ni around $10 kwa mwezi
Alexa play Run this Town by Jay Zee on Spotify. Ikishindwa try Premium! TZS 6,900 | $3 Mwezi.
 
HIV KUNA APP GANI KAMA NETFLIX LAKINI YA MUSIC VIDEOS UNAWEZA KUWA ANDROID BOX UKA STREAM ACHANA NA YOUTUBE VIDEOS ZIMEKUWA KWENYE CATEGORIES
 
HIV KUNA APP GANI KAMA NETFLIX LAKINI YA MUSIC VIDEOS UNAWEZA KUWA ANDROID BOX UKA STREAM ACHANA NA YOUTUBE VIDEOS ZIMEKUWA KWENYE CATEGORIES
Jaribu YouTube Music au pitia Vevo na kulink mifumo ya video na playlist kwa YouTube.
 
Sasa ni rasmi Spotify inapatikana Tanzania na Afrika Mashariki.

Baada ya miaka kadhaa wapenzi wa muziki na maudhui ya sauti, waliokiwa wakisubiri kwa hamu ujio wa Spotify Afrika na Afrika Mashariki sasa ipo huru kutumika.

Spotify Afrika inapatikana mataifa yafuatayo Algeria, Botswana, Burkina Faso, Cape Verde, Masr, Gambia, Ghana, Guinea-Bissau, Kenya, Lesotho, Liberia, Malawi, Mali, Morocco, Namibia, Niger, Nigeria, São Tomé and Príncipe, Senegal, Seychelles, Sierra Leone, South Africa, Tanzania, Tunisia, Uganda.

Nimesharegister naenjoy miziki mikali alafu mipya kabisa masikioni mwangu .
 
Alexa Echo Dot 3 sina hakika! Maana supported devices ni;-
  • Amazon Echo
  • Amazon Echo Dot
  • Amazon Echo Spot
  • Amazon Echo Show
  • Amazon Tap
  • Amazon Fire TV Cube
  • Facebook Portal / Portal+
  • Sonos players
Jaribu kupakua aplikesheni ya Alexa kisha Settings > Music & Podcasts > Link account to Alexa | Ingia katika akaunti yako ya Spotify. Kupitia Alexa App chagua Spotify kama default music services.

Hakikisha wakati wa kuongea maliza na Spotify. Mfano;- Alexa play JamiiForums podcast on Spotify.

MUHIMU! Ingia kupitia tovuti Spotify kisha fanya maboresho ya akaunti yako (Profile) kwa kubadili taifa lililopo na kuweka taifa ulilopo litakuwa limejumuishwa.

Usitumie VPN wakati wa maboresho haya.
Ubarikiwe tayari nimebadili spotify account yangu kutoka USA to Tanzania sasa kwa 6900 nakula ngoma za kutosha
 
Tofauti yake na youtube ni nini?Mbona mimi natumia youtube na ninapata raha za kutosha!
 
Kama ma 'IT' wabongo wangetumia fursa mapema watengeneze nao spotify yao, I hope we could have moved somewhere comfortably rather than letting foreigners suck our wealth in terms of subscriptions fee plus other blah blah.
 
Spotify | Imelenga maudhui ya audio na sauti (Podcasts).

YouTube | Imelenga maudhui ya video mtandaoni.

YouTube Music | Imelenga maudhui ya muziki tu kupitia audio na video.
Mkuu thanks kwa uzi wako , ndo umeniamsha uzingizini Mana hii app nilikuwa naitamani Ila ilikuwa restricted kwa nchi ya Tanzania kwa Miaka mingi sana .
Kitu Cha ajabu nakiona kwenye spotfry ni jinsi collection za music zilivyo deep. kwa mfano wiki hii nimekuwa nikisikiliza kwaito music collection amabazo hata south africa mwenyewe hazipatikani kwenye music stores zao.
Why would a western music radio invest so heavily kwenye african music ?
Sina access na apple music ila wiki hii moja tu na spotify naimeona jinsi wenzetu walivyo serious kwenye jambo lolote wanalotia nguvu.
 
Kama ma 'IT' wabongo wangetumia fursa mapema watengeneze nao spotify yao, I hope we could have moved somewhere comfortably rather than letting foreigners suck our wealth in terms of subscriptions fee plus other blah blah.
Mkuu sina maana ya ku discourage IT experts wetu , ila hii spotify ni level ya juu sana ya intelligence , na ni mtaji mkubwa sana imetumika pale , kwa collection na music quality walizonazo sio level ya It experts wetu , nadhan ndio sababu wamechelewa sana kuiachia itumike nchi hizi zetu.
 
Nilipe Luku, Dawasco, Maji taka, king'amuzi, michango ya harusi, misiba, vicoba, sadaka, fine za Barabarani.

Aaagh wapi acha tufungwe tu. Wasanii wenyewe wanaimba matusi
Kwa vijana wanao kula boom na pocket money za wazazi kina uncle kina bro hapa wana kuona ni porojo tu ila good thing it's a matter of time wata elewa utu uzima ni dawa spotify ni anasa real men have to work hard for real bills. Like water, transport, school fees, tv bills, house rents food etc 😂 😂 😂 😂 😛 😛
 
Nilipe Luku, Dawasco, Maji taka, king'amuzi, michango ya harusi, misiba, vicoba, sadaka, fine za Barabarani.

Aaagh wapi acha tufungwe tu. Wasanii wenyewe wanaimba matusi
Ni mfumo wa maisha tu Mkuu.. mfano mie nimeamua maisha yangu kuwa niweke Family Plan ya Netflix na Apple Music

Nikaingia gharama pia ya Smart TV na soundbar yake

Sanjari na hilo nimeweka Xbox 360

Nilichogundua ule ulevi, uzinzi usio na namna na safari za Tips kipindi hicho zimepungua sana mnoo

Kwa mwezi nina save sana, ndoa inaimarika sana kwa maana naonekana Baba Bora etc

Nikimaliza kazi ni kwenye baby walker yangu nampitia wife home...ni routine nzuri sana

Mfano Leo tunamalizia Ozark kisha tuanze Fargo
 
Back
Top Bottom