Indeed an owl is a bird..., the only flying mammal is a Bat, but for an owl definitely a Bird..where did you learn your biology? an owl is a bird??
do you know which species it belongs to??
Hapo kwenye nyekundu, kama umechemka vile !! Nipe mji!Indeed an owl is a bird..., the only flying mammal is a Bad, but for an owl definitely a Bird..
By the way where did you learn your biology ?
Typo...,Hapo kwenye nyekundu, kama umechemka vile !! Nipe mji!
mweeeeh......basi jana nakamua zangu maji ya ilala pale pembeni ya mtambuzi pub kuna baa ipo chini ya mkungu, bundi tatu zikatokea zikakaa juu ya paa zinaniangalia!!!!!!!!!!! nililia sana! kila nikiinua glass wananikodolea....nikipiga funda hao wananikodolea.....wacha niangue kilio!!!! :embarrassed::embarrassed: sirudi ng'ooooo hapooo
mkunguni
Ha! ha! ha! .. Boflo acha mkwara Bwana! ....where did you learn your biology? an owl is a bird??
do you know which species it belongs to??
distazo banaaaa mi nimelia why bundi waniwekee pozi wakati nakata kilaji changu!!!!Sio wewe tu, imani za kishirikina ni janga la kitaifa. Tumeshuhudia viongozi wakubwa tu wakienda kunywa kikombe Loliondo,tumeshuhudia wabunge wakiwekeana ndumba kule mjengoni, yaani ni aibu tupu kwa taifa linaloendelea.Wakati wengine wameingia kwenye sayansi na teknolojia wewe bado uko ki kalumanzila zaidi.
View attachment 68559
...........