elinhowski
Member
- Jan 21, 2013
- 21
- 0
Toka nlivoanza kuuliza hiyo theme song inaitwaje hamna anaenipa jibu
jamaa wako vizuri kwa kipindi chao unachotakiwa kujua ni kwamba they based much on analysis rather than presenting sports events ndomana story zinakuw nyingi coz kila m2 anajaribu kutoa facts
Dah,kamanda umeniacha hoi baada ya kumtaja Mbwiga,uyu jamaa wamemuokota wapi cjui, huwa simuewi elewi kabisa.Alafu na tamasha lao la kamata fursa upuuzi mtupu.Wao walifanya lini utafiti na kung'amua izo fursa?wamejigeuza wataalamu wakati shule amna kichwani.aiseee....kumbe tuko wengi!
Binafsi kipindi nakipenda sana ila mbwembwe za Watangazaji ndio zinakera hasa pale wanapotamka Barcelona(batherona), Zaragoza(tharaghotha). Hata kama wanajitahidi kuongea kiispania, mbona SuperSport wanasema Barcelona(baselona) Zaragoza(zaragoza).
Shafii yuko poa japo kidhungu kina mkaba bora aachane nacho.
Kuna huyo Maestro kwa kweli angetafuta kipindi kingine au aache kutangaza, jamaa anabore sana na anapotangaza mbwembwe za kijinga hadi anasahau kutamka mambo muhimu anaweza sema timu flan imeshinda akaweka mbwembwe akasahau kutaja magoli.
Lwambano yuko poa na makini kwa kazi yake.
Mbwiga wa Mbwiguke ndio hovyoooo kabisa!
Dah,kamanda umeniacha hoi baada ya kumtaja Mbwiga,uyu jamaa wamemuokota wapi cjui, huwa simuewi elewi kabisa.Alafu na tamasha lao la kamata fursa upuuzi mtupu.Wao walifanya lini utafiti na kung'amua izo fursa?wamejigeuza wataalamu wakati shule amna kichwani.
si hao tu yani karibu mipindi yao yote ya claus fm,vya kuongea huwa vinaibuka tuu.hasa kipindi cha jahazi yani ndo hadi yaboa,aaaaaaargghhh....
Kuna kipindi cha Tv BIBI BOMBA unasemaje katika hili ?Hawa ndiyo tatizo sana. Wanajifanya wanajua wakati wanachoongea ni upuuzi tu. Mara nyingi tu WANATUKANA.
Duh....kuna watu mnafukua makaburi balaa. Jamaa kanipa like leo wakati inshu ni ya 2012.aiseee....kumbe tuko wengi!
Binafsi kipindi nakipenda sana ila mbwembwe za Watangazaji ndio zinakera hasa pale wanapotamka Barcelona(batherona), Zaragoza(tharaghotha). Hata kama wanajitahidi kuongea kiispania, mbona SuperSport wanasema Barcelona(baselona) Zaragoza(zaragoza).
Shafii yuko poa japo kidhungu kina mkaba bora aachane nacho.
Kuna huyo Maestro kwa kweli angetafuta kipindi kingine au aache kutangaza, jamaa anabore sana na anapotangaza mbwembwe za kijinga hadi anasahau kutamka mambo muhimu anaweza sema timu flan imeshinda akaweka mbwembwe akasahau kutaja magoli.
Lwambano yuko poa na makini kwa kazi yake.
Mbwiga wa Mbwiguke ndio hovyoooo kabisa!
Kwelii binadam tunatofautianaHuwa nasikiliza vipindi viwili tu! Clouds FM; Sports Extra na Njia Panda. Spots Extra ni kipindi bora vha michezo kwa kuwa kinaangalia matatizo ya mashinani mpaka TFF. Njia Panda ni kipindi bora cha kijamii kwa kuwa kinatoa picha halisi ya matatizo ya jamii za watu wa chini.