AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,536
- 4,513
Kwenye hili sakata la Mtibwa Sugar na madai yao juu ya Msheri kwa Yanga...
Sakata lilianza jana jioni kwenye sports Court PAUL MKAI akiwa na GEORGE AMBANGILE(Mchambuzi Bora kwa sasa)...ikiwa tumesikiliza malalamiko ya THOBIAS KIFARU(Msemaji wa MTIBWA) kuwa bado wanawadai YANGA pesa za uhamisho wa Msheri...
Baada ya kusikiliza hayo...akamhoji AMBANGILE, AMBANGILE akajibu "SIWEZI KULISEMEA JAMBO AMBALO LIMESEMWA UPANDE MMOJA" ikawa imeisha hivyo...
YUSUPH MKULE leo kwenye SPORTS ARENA akawa kama ameliapia vile...kalipania...kalishupalia sakata hili... studioni alikuwepo MKONGWE EDO KUMWEMBE, GEORGE JOB(ambaye ni meneja wa Msheri), vichambuzi vitoto ambavyo vinalopoka lopoka tu bila kuhoji suala limezungumziwa na pande ya pili?...
Yusuph mkule baada ya kuwauliza hivi vichambuzi vitoto vimelopoka tu bila weledi...akamuuliza EDO KUMWEMBE...Mkongwe akamwelesha Mkule mambo jinsi yalivyo...lakini MKULE hakutaka kuelewa akashupaza shingo...EDO KUMWEMBE(ambaye ni boss wao AKAPIGA KIMYA KWA HEKIMA KUBWA).
Akalipeleka swali tena kwa GEORGE JOB Kama meneja wa mchezaji tajwa anazungumziaje taarifa hizo..JOB akamjibu..."MIMI SIPO KATIKA NAFASI YA KUZUNGUMZIA MASUALA YA MTIBWA NA YANGA, MIMI NIULIZE KUHUSU MASLAHI YA MCHEZAJI WANGU NITAKUJIBU, KWAHIYO SAKATA LA MTIBWA NA YANGA KAMA WAMELIPANA AU LA...HILO HALINIHUSU."
Yusuph Mkule alivyo kichwa ngumu, hakuelewa majibu wa JOB, akataka kuibua jambo jipya kwa Kumuuliza JOB Swali ambalo halipo kabisa wala halina msingi la kipuuzi eti ,"YANGA WAMEKAMILISHA MATAKWA YA KIMKATABA YA MSHERI?", JOB Alivyo bright alimjibu very short and clear...kuwa "MKATABA WA MSHERI NA YANGA UKO SEHEMU SAHIHI."
Baada ya hapo...leo tena jioni tukategemea atakuja na majibu yaliyotoka kwa YANGA juu ya sakata hili upande wao wanalizungumziaje...
Kituko kaja na mahojiano ya kipuuzi na maswali ya KIJINGA yasiyotumia akili wala weledi kwa MWENYEKITI WA BODI YA LIGI na MWENYEKITI WA SPORTANZA, Swali lake eti, "KUNA UWEZEKANO WA YANGA KUPOKWA POINTS KWA SABABU YA SUALA HILO LA MAUZO TA MSHERY".
Pamoja na swali halikuwa na maana na limeulizwa kwa watu wasio na tija juu ya sakata hili kwa sasa...lakini walimpa elimu kuwa halipo hivyo anavyo fikiri...
Sasa hii si aibu kwa tasnia ya habari...?
Yaani mtangazaji kama MKULE raising a discussion on matter based on one-sided argument?
Edo kumwembe REKEBISHA HII AIBU...Huyu ana chuki za wazi Kwa Yanga kama wenzake SHAFII DAUDA na JEMEDARI..wakati RADIO YENU ni katika RADIO Inayofuatiliwa na wengi kwa weledi na wachambuzi bora kama WEWE MWENYEWE EDO, AMBANGILE NA JOB...
Hebu Tafuta watangazaji wenye weledi kama AHMED ABDALLAAH...
SASA KWA MFANO YANGA INAPORWAJE POINTS KWENYE SAKATA LA MADAI YA KIMKATABA?
Mbona ni jambo lipo wazi hata kama hujasoma kanuni ..? Hii ni aibu...
Hapa sijazungumzia hujuma za wazi za kitaarifa anazozifanya pale ambapo yanga imecheza mechi na ikashinda tofauti na pale inapofungwa..
Alafu kutwa kulala eti maafisa wa YANGA hawapokei simu zake...sasa watapokeaje kwa upuuzi kama huo...YUSUPH MKULE anajidharaulisha mwenyewe...
Heshimu kibarua chako...
YUSUPH MKULE NI AIBU WASAFI MEDIA...