1. Weka hadharani ripoti ya Richmond hasa ule upande uliouzuia kuiokoa Serikali.
2. Tujuze Watanzania kuhusu ule unga wa Bungeni.
3. Waeleze wazi kuwa huzitaki siasa za majitaka.
4. Pambana na mafisadi popote pale hasa wanaotaka kuiuza nchi yetu.
5. Weka wazi zile kashfa za meremeta,kagoda na tangold ulizozizuia Bungeni.
6............
Ngoja tuone busara ya CCM inapoishia maana huu ni mtihani mwingine.Hivi kwani lazima Spika awe Sitta??no way he has to go ni MNAFIKI sana huyu mzee..i Hate him..ni mara 100 chenge awe spika kuliko sitta..huyu si ndo kajenga ofisi ya spika kwa 500m
Uzuri wa Sitta ni upi?
Naona ana unafiki vile, EPA aliitupilia mbali. Richmond issue imeisha hivi hivi.
Spika si lazima awe Sitta anaweza kuwa mtu mwingine ambaye ni jasiri zaidi ya Samwel Sitta aliyetishwa na chama chake, na akanywea.
Kwa bunge lijalo sita anafaa sana anaheshimu mawazo ya kila mtu na kuyafanyia kazi . Hapa kikwete alicheza kama pele. Hawa wengine wanataka kwenda kukandamiza sauti ya umma.hivi kwani lazima spika awe sitta??no way he has to go ni mnafiki sana huyu mzee..i hate him..ni mara 100 chenge awe spika kuliko sitta..huyu si ndo kajenga ofisi ya spika kwa 500m
Hivi kwani lazima Spika awe Sitta??no way he has to go ni MNAFIKI sana huyu mzee..i Hate him..ni mara 100 chenge awe spika kuliko sitta..huyu si ndo kajenga ofisi ya spika kwa 500m
you must be on drugs.. chenge?Hivi kwani lazima Spika awe Sitta??no way he has to go ni MNAFIKI sana huyu mzee..i Hate him..ni mara 100 chenge awe spika kuliko sitta..huyu si ndo kajenga ofisi ya spika kwa 500m
Hivi kwani lazima Spika awe Sitta??no way he has to go ni MNAFIKI sana huyu mzee..i Hate him..ni mara 100 chenge awe spika kuliko sitta..huyu si ndo kajenga ofisi ya spika kwa 500m
Uzuri wa Sitta ni upi?
Naona ana unafiki vile, EPA aliitupilia mbali. Richmond issue imeisha hivi hivi.
Spika si lazima awe Sitta anaweza kuwa mtu mwingine ambaye ni jasiri zaidi ya Samwel Sitta aliyetishwa na chama chake, na akanywea.
I second it....Chenge kuwa spika ni blessing in disguise kwa upinzani.nitafurahi CCM wakimpitisha chenge maana watakuwa wamejikaanga kwa mafuta yao wenyewe.... hata malaria sugu atawageuka
Hivi kwani lazima Spika awe Sitta??no way he has to go ni MNAFIKI sana huyu mzee..i Hate him..ni mara 100 chenge awe spika kuliko sitta..huyu si ndo kajenga ofisi ya spika kwa 500m