Elections 2010 Spika Sitta Ukifanyiwa Zengwe CCM fanya haya

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,711
277
1. Weka hadharani ripoti ya Richmond hasa ule upande uliouzuia kuiokoa Serikali.
2. Tujuze Watanzania kuhusu ule unga wa Bungeni.
3. Waeleze wazi kuwa huzitaki siasa za majitaka.
4. Pambana na mafisadi popote pale hasa wanaotaka kuiuza nchi yetu.
5. Weka wazi zile kashfa za meremeta,kagoda na tangold ulizozizuia Bungeni.
6............
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,518
6,110
Hivi kwani lazima Spika awe Sitta??no way he has to go ni MNAFIKI sana huyu mzee..i Hate him..ni mara 100 chenge awe spika kuliko sitta..huyu si ndo kajenga ofisi ya spika kwa 500m
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,167

6. Hamia Chadema kwa kuwa wewe ni 'chuma cha pua' na hakuna wa kukung'oa Urambo
 
mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,711
277
Hivi kwani lazima Spika awe Sitta??no way he has to go ni MNAFIKI sana huyu mzee..i Hate him..ni mara 100 chenge awe spika kuliko sitta..huyu si ndo kajenga ofisi ya spika kwa 500m
Ngoja tuone busara ya CCM inapoishia maana huu ni mtihani mwingine.
 
Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
297
Uzuri wa Sitta ni upi?

Naona ana unafiki vile, EPA aliitupilia mbali. Richmond issue imeisha hivi hivi.

Spika si lazima awe Sitta anaweza kuwa mtu mwingine ambaye ni jasiri zaidi ya Samwel Sitta aliyetishwa na chama chake, na akanywea.
 
Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
738
SITTA USIPOPATA USPIKA KUNG'UTA MAVUMBI NA KUIHAMA CCM ILI UFANYIKE UCHAGUZI MDOGO ALAFU WEWE HAMIA CHADEMA. ILA WIFE WAKO ITABIDI ASUBIRI TUJIRIDHISHE KAMA KWELI HAKUTOA RUSHWA KWA AJILI YA KUCHAGULIWA VITI MAALUM.

TIMU YA CHENGE IKO NA LOWASSA, ROSTAM AZIZI, IBRAHIM MSABAHA, KARAMAGI NA KAKUNDI FULANI KA WAHINDI. BUDGET YAO KWA AJILI YA KUMWEZESHA MWENZAO SI CHINI YA KABILIONI KAMOJA (VIJISENTI KIDOGO TU).

KAZI KWELI KWELI!:A S angry:
 
elly1978

Senior Member
Apr 28, 2009
180
38
Uzuri wa Sitta ni upi?

Naona ana unafiki vile, EPA aliitupilia mbali. Richmond issue imeisha hivi hivi.

Spika si lazima awe Sitta anaweza kuwa mtu mwingine ambaye ni jasiri zaidi ya Samwel Sitta aliyetishwa na chama chake, na akanywea.

Na mtu huyo ni Chenge:A S angry:
 
MWANALUGALI

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
601
34
Sijui kama nitafurahi au kuhuzunika CCM wakimpitisha Chenge kuwa Spika wa bunge letu. Labda nitafurahi kwa kuwa CCM watakuwa wamejichimbia kaburi la kushindwa ktk chaguzi zijazo, au nitahuzunika kwamba my country has gone to the dogs na kwamba tumekubali kuwa taifa lililoshindwa na kugeuka kuwa nchi ya kifisadi!!!

Eeeh Mungu tuepushe na kikombe hiki
 
NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,509
1,310
hivi kwani lazima spika awe sitta??no way he has to go ni mnafiki sana huyu mzee..i hate him..ni mara 100 chenge awe spika kuliko sitta..huyu si ndo kajenga ofisi ya spika kwa 500m
Kwa bunge lijalo sita anafaa sana anaheshimu mawazo ya kila mtu na kuyafanyia kazi . Hapa kikwete alicheza kama pele. Hawa wengine wanataka kwenda kukandamiza sauti ya umma.
 
nomita

Member
Jul 20, 2010
10
0
hapa sasa ndo tutaona ukweli wa ccm kwamba wanaendeshwa na mafisadi....ccm watajiharibia sana kumpa chenge kikwete kuwa makini vitu kama hivi ndo vinahangusha chama chenu....kuweni na busara kumchagua spika chenge kujua kwake katiba isiwe ni kigezo cha kumpa nafisi ana do na atatia doa chama hii ni shangwe ka chadema kwa maana wanaanchi mtawaudhi na kufanya waendelee kuskosa imani na nyie.... KWENI MAKINI CHENGE AFAI BORA MWINGINE HATA KAMA CYO SITTA
 
andrewk

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
3,102
484
Niliposikia sera za chenge, sidhani kama anafaa kuwa spika, anasiasa za kuwakomoa wapinzania kwenye dunia ya leo kweli?hafai bora sita arudi tu
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,951
8,843
Hivi kwani lazima Spika awe Sitta??no way he has to go ni MNAFIKI sana huyu mzee..i Hate him..ni mara 100 chenge awe spika kuliko sitta..huyu si ndo kajenga ofisi ya spika kwa 500m
you must be on drugs.. chenge?
 
Reyes

Senior Member
Sep 1, 2010
188
2
nitafurahi CCM wakimpitisha chenge maana watakuwa wamejikaanga kwa mafuta yao wenyewe.... hata malaria sugu atawageuka
 
Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
297
Ndani ya CCM kwa kipindi hiki hakuna mtu mwenye gutz za kumtoa Sitta.
 
Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,220
368
Hivi kwani lazima Spika awe Sitta??no way he has to go ni MNAFIKI sana huyu mzee..i Hate him..ni mara 100 chenge awe spika kuliko sitta..huyu si ndo kajenga ofisi ya spika kwa 500m

Si bora ya Sitta kuliko Chenge, Mkapa, Na Mramba, walio waambia watanzania watakula mchicha ili ndege ya rais ipatikane na ndiko huko nako RADA ikanunuliwa kwa bei ya ajabu na pesa zikaenda nje ya nchi n sitta si bora Nyumba hiyo imejengwa hapa TZ wengine nao watakao kuwa spika wataishi humo.
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,167
Uzuri wa Sitta ni upi?

Naona ana unafiki vile, EPA aliitupilia mbali. Richmond issue imeisha hivi hivi.

Spika si lazima awe Sitta anaweza kuwa mtu mwingine ambaye ni jasiri zaidi ya Samwel Sitta aliyetishwa na chama chake, na akanywea.

naskia harufu ya ukweli (japo napenda Sita awe spika kuliko Chenge)
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,213
23,003
nitafurahi CCM wakimpitisha chenge maana watakuwa wamejikaanga kwa mafuta yao wenyewe.... hata malaria sugu atawageuka
I second it....Chenge kuwa spika ni blessing in disguise kwa upinzani.
Bring on Chenge!!
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
9,447
6,020
Hivi kwani lazima Spika awe Sitta??no way he has to go ni MNAFIKI sana huyu mzee..i Hate him..ni mara 100 chenge awe spika kuliko sitta..huyu si ndo kajenga ofisi ya spika kwa 500m

Regards

Andrew Chenge
[Signed]
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom