nchonga aliyebaki
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 574
- 833
Siasa ya Tanzania ina matukio Muhim yanayofanya Iwe tamu hasa inapokutana Na watanzania vichwa panzi Na waliodungwa ganzi ya Mochwari,
Hii ni orodha ya upepo wa kisiasa uliowahi jitokeza Na kuwapa watu umaarufu harafu ukaisha hivyo naona hata kwa magufuli ni pepo tu zitapita zisimsumbue
1. Kagoda hatujuhi muafaka wake
2. Mafisadi elimu by msemakweli ilimpa kick ya hatari
3. Meremeta
4. Buzwagi
5. Uuzwaji wa maeneo ya wazi
6. Orodha ya mafisadi mwembe yanga
7. Lowassa ni fisadi (2007-2015)
8. Watuhumiwa wa Richmond wampa mwakyembe sumu
9. Zitto kabwe apewa sumu yuko India
10. Mwamunyange haonekani alipo ( kipindi cha uchaguzi)
11. Tulia ackson hajuhi kuendesha bunge,
12. Escrow
13. Change ya rada
14. Dowans
15. Zitto anakisalit chama
16. Zitto Na kitila wafukuzwa chadema
17. Nape aanzisha ccj
18. Waziri magufuli jembe amkomalia pinda Na kikwete
19. Ulimboka atekwa
20. Salum kibanda aumizwa
21. Alphonse mawazo auwawa
22. Ajari ya CHACHA wangwe
23. Dk slaa afungiwa Na mkewe ndani
24. Kubenea amwagiwa tindikali
25. Ridhiwan ashusha magari 200 bandarini Na ana depot za mafuta kila sehem
26. Samweli sitta kupokonywa kadi ya chama
27. Babu seya awekwa ndani Na mkubwa
28. Operation tokomeza
29. Ukawa watoka bungeni
30. Maalim seifu aibiwa kura aenda ICC
31. Tutaona kama magufuli ataapishwa,
32. Lugumi jongoo alomshinda magufuli
33. MWIGULU kafoji vyeti Na majina
34. Nape ni mototo wa mwandosya,
35. Gwajima amtukana pengo
36. Makonda kafoji vyeti,
37. Ridhiwan akamatwa China Na madawa ya kulevya kikwete weka nchi rehan aachiwe
38. Lipumba ajiuzuru uenyekiti.
39. Msajili ampa lipumba ofisi
Kwakweli siasa za Tanzania inabidi uwe Na roho ya waendesha roli tena roli la maji taka,
Magufuli Piga Kazi wanayosema ni upepo utapita kama orodha ya halo juu