Zero
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 299
- 17
Kuna mtu alitoa wazo na kusema inastahili Malima ajiuzulu huo unaibu waziri. Baadhi ya waforum wakapinga na kusema watajiuzulu mawaziri wangapi kila wanapoboronga? Mwingine akatoa hoja ya kuanzisha thread ya kutathimini utendaji wa kila waziri tangu ameingia madarakani. Mimi nadhani hili ni wazo zuri sana. Iwekwe thread ya kila waziri mmoja mmoja pamoja na manaibu waziri wote. Then sisi kama members wa JF tutoe maoni yetu ikiwemo mifano juu ya kauli zao na utendaji wao kwa ujumla. Then mwisho wa siku we can compile like a summary kwa kila waziri and even rate their performance. Then hii list anaweza kuichukua Dr Slaa au Zitto kutoka huku kwenye forum na kuipublicize kwa wananchi kama ile list of shame.
Nadhani kwa mtiririko kama huo, the likes of Malima and Masha will be out of poilitics before 2010 general elections. Haingii akilini kuendelea kuwa na watendaji wabovu kwenye serikali yetu kiasi hiki.