Kuna watu huwa nawadharau sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Retro viruses wameingia kwenye medulla!Tamko lake limenikumbusha kuwa cocacola walianza mchakato wa kutengeneza soda zao kwa kutumia ule mmea pendwa toka Mara na mikoa ya kanda ya ziwa victoria.
Nimemwangalia kama mara 10 naona kama wakati anazungumza kichwa chake hakikuwa sawa au kuna baadhi ya components zilikua likizo.
Kwanini anataka kujibu kwa kutumia nguvu ya police? Kwa nini asijibu tuhuhma kwa hoja?
Naomba anayejua spika wetu anatumja kilevi gani atusaidie ili tumpe ushauri wa kubadilisha maana siku asije fanya kituko kikubwa kuliko hiki.
Nikireport kutoka dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
ARVTamko lake limenikumbusha kuwa cocacola walianza mchakato wa kutengeneza soda zao kwa kutumia ule mmea pendwa toka Mara na mikoa ya kanda ya ziwa victoria.
Nimemwangalia kama mara 10 naona kama wakati anazungumza kichwa chake hakikuwa sawa au kuna baadhi ya components zilikua likizo.
Kwanini anataka kujibu kwa kutumia nguvu ya police? Kwa nini asijibu tuhuhma kwa hoja?
Naomba anayejua spika wetu anatumja kilevi gani atusaidie ili tumpe ushauri wa kubadilisha maana siku asije fanya kituko kikubwa kuliko hiki.
Nikireport kutoka dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatumia pombe ya ChattleTamko lake limenikumbusha kuwa cocacola walianza mchakato wa kutengeneza soda zao kwa kutumia ule mmea pendwa toka Mara na mikoa ya kanda ya ziwa victoria.
Nimemwangalia kama mara 10 naona kama wakati anazungumza kichwa chake hakikuwa sawa au kuna baadhi ya components zilikua likizo.
Kwanini anataka kujibu kwa kutumia nguvu ya police? Kwa nini asijibu tuhuhma kwa hoja?
Naomba anayejua spika wetu anatumja kilevi gani atusaidie ili tumpe ushauri wa kubadilisha maana siku asije fanya kituko kikubwa kuliko hiki.
Nikireport kutoka dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafanya replication tu sio??Retro viruses wameingia kwenye medulla!