Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,072
- 18,258
Tamko lake limenikumbusha kuwa cocacola walianza mchakato wa kutengeneza soda zao kwa kutumia ule mmea pendwa toka Mara na mikoa ya kanda ya ziwa victoria.
Nimemwangalia kama mara 10 naona kama wakati anazungumza kichwa chake hakikuwa sawa au kuna baadhi ya components zilikua likizo.
Kwanini anataka kujibu kwa kutumia nguvu ya police? Kwa nini asijibu tuhuhma kwa hoja?
Naomba anayejua spika wetu anatumja kilevi gani atusaidie ili tumpe ushauri wa kubadilisha maana siku asije fanya kituko kikubwa kuliko hiki.
Nikireport kutoka dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app