Spika Ndungai anatumia pombe ya wapi?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
Tamko lake limenikumbusha kuwa cocacola walianza mchakato wa kutengeneza soda zao kwa kutumia ule mmea pendwa toka Mara na mikoa ya kanda ya ziwa victoria.

Nimemwangalia kama mara 10 naona kama wakati anazungumza kichwa chake hakikuwa sawa au kuna baadhi ya components zilikua likizo.

Kwanini anataka kujibu kwa kutumia nguvu ya police? Kwa nini asijibu tuhuhma kwa hoja?

Naomba anayejua spika wetu anatumja kilevi gani atusaidie ili tumpe ushauri wa kubadilisha maana siku asije fanya kituko kikubwa kuliko hiki.

Nikireport kutoka dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi kwa sasa sijui anatumia kinywaji gani maana mtu akiugua kwa muda mrefu hata diet yake inaweza kubadilika kwa ushauri wa madaktari.
Lakini nilicho na uhakika nacho:-
Serikali ya awamu ya 5;
Bunge la 11;
Mahakama chini ya Profesa;
Formula kuu ni matumizi ya nguvu kuliko akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu huwa nawadharau sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tamko lake limenikumbusha kuwa cocacola walianza mchakato wa kutengeneza soda zao kwa kutumia ule mmea pendwa toka Mara na mikoa ya kanda ya ziwa victoria.

Nimemwangalia kama mara 10 naona kama wakati anazungumza kichwa chake hakikuwa sawa au kuna baadhi ya components zilikua likizo.

Kwanini anataka kujibu kwa kutumia nguvu ya police? Kwa nini asijibu tuhuhma kwa hoja?

Naomba anayejua spika wetu anatumja kilevi gani atusaidie ili tumpe ushauri wa kubadilisha maana siku asije fanya kituko kikubwa kuliko hiki.

Nikireport kutoka dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Retro viruses wameingia kwenye medulla!
 
ARV
 
Anatumia pombe ya Chattle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom