Spika Ndugai unataka Lissu afe?

Spika Ndugai unataka Lissu afe?

Taratibu zilianza kuvunjwa tokea dodoma,medical team kwenda kwa ambaye akufuata taratibu au ilishawahi tokea kwa nani medical team kwenda alipolazwa mgonjwa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hicho kikao cha Dodoma nani alikuwa Mwenyekiti wake?
Uongozi mzima wa Mjengoni ulikuwepo.

So Baada ya pale tulianza kuonyeshwa Siasa za kibabe ktk Taarifa/matamko.
 
Nadhani ndugai alikuwemo kwenye ile nissan nyeupe..siyo bure. Ila kiukweli atakwama sana maana hatutamuacha TL aadhirike kama anavyotaka ndungae.. nyambafu zake
 
Anaandika #Bollen_Ngeti

SPIKA NDUGAI ANATAKA LISSU AFE??

KITENDO cha Bunge la Ndugai kumfutia mshahara na posho zingine za kibunge Tundu Lissu ni unyama na ushahidi wa dhahiri kuwa Spika Job Ndugai akibanwa anaweza walau kusaidia kujua waliopanga kumuua kwa mabunduki Lissu September 7, 2017.

Mwanzoni nilijua ni kauli tu za kisiasa lakini kwa Ndugai kuamua kweli kumfutia mshahara Lissu ni jaribio jingine la kutaka kumuua Lissu na safari hii naona wanataka afe kwa njaa na familia yake.

Risasi 16 zilishindikana kumuua Lissu baada ya Mungu kusimamia "show". Jaribio la pili lilikuwa ni kumfutia dhamana ili akamatwe na Interpol aswekwe ndani na magongo yake na majeraha. Hakika angekufa kwa mateso na uchungu. Hili nalo Mungu akaepusha. Mahakama ikakataa. Safari hii naona njia sahihi iliyochaguliwa ni kumfutia mshahara Lissu ili afe kwa njaa, watoto wasiende shule, ndugu tegemezi waathirike. Huku ni kumuua Lissu na ni uthibitisho kuwa nguvu ya kummaliza Lissu ni kubwa mno kiasi kwamba bila Mungu Lissu si kitu!

Ndugai anadai hajui aliko Lissu na anafanya nini huko asikojua. Ndugai akumbushwe tu kwamba Lissu yuko hospitali huko Ubelgiji akipatiwa matibabu baada ya kupigwa risaso 38 na 16 kumuingia mwilini na hivi karibuni amemaliza kufanyiwa upasuaji wa 23. Anasubiri uamuzi wa madaktari kumruhusu kutoka au la!

Lissu ni Mtanzania kama wewe na mimi. Ana ndugu, jamaa na marafiki hata ndani ya Mafikizolo, Chadema, Inzile, Gweregwere, CUF, jeshini, TISS, vyuoni, Magogoni nakadhalika! Tumuombee apone ili awatumikie wananchi wake. Tofauti zetu kisiasa zisitutofautishe hadi kufikia kuuana kwa njaa. Wabunge wote unganeni kumpinga Ndugai, pigeni kelele hadi nchi za mbali kupinga uamuzi huu wa Ndugai. Kumbukeni wakimmaliza Lissu watakugeukieni na ninyi. Hakuna aliye salama kwa sasa!
#AchaWoga2020
taratibu za kiutumishi zitafuatwa na lissu atapatiwa mshahara wake kwani ni haki yake ya msingi hakuna anayeweza kuzuia mshahara wake ni kasoro ndogo ndogo zimejitokeza
 
Kama kweli mheshimiwa Tundu Lissu amesimamishiwa au kuondolewa mshahara wake huo ni ukatili uliuopitiliza.Mh Lissu si bado anatibiwa? Hivi kuikosoa serikali ni uhaini au kosa la jinai?
 
Sasa wasio julikana wanajianika wenyewe hadharani hiki kizee nuksi ni kimoja wapo.
 
Taratibu na kanuni haziangalii sura usipozifuata kufa tu tutakuzika.
Wewe kada ngoja nikuulize swali, je sheria hizo zinawahusu watu wa upinzani pekee??

Mbona tulikuona wewe Ndugai, ukienda kutibiwa India na kuwekwa Hoteli ya 5 Star, je hizo ndiyo stahiki za matibabu ya Mbunge??
 
Atakufa Yeye

mwenzake atamuacha anadunda.

Kama walimkosa Risasi 16 , Njaa haiwezi kumuua Lisu, Huyo anamkataba wa wazi na MUNGU wake Ndiyo maana alimponya kwenye Lile jaribio la kumuua.
 
Kama hajui aliko siku zote hizo.kwa nini havuliwi Ubunve kama Nassari...!?
 
Duh! Ulishawahi kuajiriwa kwenye taasisi za uma au serikali kuu? Mtu akiumwa inakuaje anafutiwa mshahara au anafukuzwa kazi? Akipata ajali kazini inakuaje?
Ndungai na bunge zima nawapongeza kwa kufuata taratibu na kanuni walizojiwekea.

Haiwezekani mtu anakula posho na mshahara ambao ajaufanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ngaunje
 
Back
Top Bottom