Ndungai na bunge zima nawapongeza kwa kufuata taratibu na kanuni walizojiwekea.
Haiwezekani mtu anakula posho na mshahara ambao ajaufanyia kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma na kuelewa?
Usiendekeze tabia ya kutopenda kusoma
Ndungai na bunge zima nawapongeza kwa kufuata taratibu na kanuni walizojiwekea.
Haiwezekani mtu anakula posho na mshahara ambao ajaufanyia kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alifuata utaratibu na hata alivyopona akuwa anazunguka kwenye interviews marekani,uingereza na ujerumani au ulimuona kwenye interview ughaibuni?Aisee.....Ndugai alipokuwa India na Hela akawa anapewa alikuwa anaifanyia kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukielewa wewe inatosha na wewe umeelewa nilichoandika au umekurupuka kujibu tu?Umesoma na kuelewa?
Usiendekeze tabia ya kutopenda kusoma
Ndungai na bunge zima nawapongeza kwa kufuata taratibu na kanuni walizojiwekea.
Haiwezekani mtu anakula posho na mshahara ambao ajaufanyia kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo ofisi ya bunge haina watu mahiri wa kujua mbunge yupo wapi? Kama mbunge anaishi mwenyewe na akapatwa na umauti bunge halitajua?Jamani ndugai hajasema hajui lissu aliko! Ofisi ya spika(bunge) haina taarifa Mbunge wa Singida Mashariki alipo. Tofautisha Ndugai na Ofisi ya Spika(bunge). Ofisi inao utaratibu wake wa kufahamishwa. Na ufahamu kuwa Ndugai hana bunge, bunge ni la Tanzania.
Kwaiyo unataka kusemaje? SijakuelewaKazi ya nusu saa bungeni kwa huyu mbunge mmoja ni sawa ya waliobaki kama 200 kwa miaka 10.Ndio maana akiinuka kuchangia kilamtu husikiliza kwa makini.
Kwani kufanya interview ughaibuni imezuiwa kwenye katiba?Alifuata utaratibu na hata alivyopona akuwa anazunguka kwenye interviews marekani,uingereza na ujerumani au ulimuona kwenye interview ughaibuni?
Njaa mbaya sana na haina baunsa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akujazuia ina maana kapona kwanini asirudi kufanya kazi za kibunge?
Hakuna atakaye ishi milele hata sisi tutakufa.Du! Wao watakufa pia kabla ya lissu!
Kwaiyo unataka kusemaje? Sijakuelewa
Apewe pesa bila utaratibu kwasababu lissu na alivyokosekana bunge limesimama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize lissu kwasababu ni learned na anajua ila anawadaa wafuasi wake kutafuta sympathy.Ibara ya ngapi iliyofuatwa ?
Ni wazi kuwa hata taratibu na kanuni zenyewe huzijui.Ndungai na bunge zima nawapongeza kwa kufuata taratibu na kanuni walizojiwekea.
Haiwezekani mtu anakula posho na mshahara ambao ajaufanyia kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app