Alikuwa hapahapa, mnafiki tu!Retired huyu alikua wapi kabla ya msiba?
Ndugai mtu wa jabu afadhali naye amfuate Jiwe nuru iangaze zaidi.Retired huyu alikua wapi kabla ya msiba?
Ilipita kwa sababu mlikuwa mkimuogopa magufuli,hakuna mswada hata mmoja ambao ulikwama kupitishwa wakati wa magufuli leo ndugai anastaajabu nini wakati yeye ndiye alikuwa tatizo hapo bungeni maneno anayoongea ndugai cku hizi hapo bungeni uatafikiri ndio kwanza anaingia bungeni.Retired huyu alikua wapi kabla ya msiba?
Sijawahi kuona Spika mnafiki kama Ndugai tangu tupate Uhuru.Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Sheria ya Serikali kutaifisha Ng'ombe wanaoingia maeneo ya Hifadhi ni tatizo, akiita kuwa Sheria yenye dhuluma.
Amesema, "Hii Sheria sijui ilipita wapi, tulikuwa tumelala au ilikuaje. Ile kwamba Ng'ombe wakiingia kwenye Hifadhi wanataifishwa wote, hapana! Kama ni ya miaka ya karibuni sijui nilikuwa nimesafiri nimeenda wapi".
Ameeleza, Tembo kutoka Hifadhini wanazurura na kula mazao ya watu akisema kuwepo usawa kwenye suala hilo na kuitaka Serikali kuliangalia.
Akili nyingine huwa kama ina system ya bahari maji kupwa maji kujaa zinawarudi sasa.Retired huyu alikua wapi kabla ya msiba?
Sio spika tu andika mtanzania mwenye kipaji cha unafiq kama yeye hakuna wa kumzidi huyu.Sijawahi kuona Spika mnafiki kama Ndugai tangu tupate Uhuru
This is a proof that the speaker is never serious!Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Sheria ya Serikali kutaifisha Ng'ombe wanaoingia maeneo ya Hifadhi ni tatizo, akiita kuwa Sheria yenye dhuluma.