Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,864
- 41,226
Basi huenda ni kweli
Aliwa rostisha sana!! Haya unganenj na ndugai mkachukue heshima yenu mlompatia.Mbowe usirudi tena bungeni uliturostisha sana wana hai. Mbowe hastahili kupewa heshima anayopewa.
Hai hakuna matatizo ya r na l huyu arudi kwao akachunge ng'ombeAliwa rostisha sana!! Haya unganenj na ndugai mkachukue heshima yenu mlompatia.
KALE KAUGONJWA SI UNAJUA....🤣🤣🤣🤣Spika nae kazidi mipasho kama mwanamama
Jimbo lake halina shida..uchaguzi ukikaribia akipika ubwabwa na vipombe vya kienyeji anapita bila kupingwa...SAWA. SASA JIMBO LA HAI LIMEPATA MBUGE ANAYEULIZA MASWALI, NA KUWASEMEA WANAICHI WA JIMBO HILO. SWALI LANGU KWA MH. SPIKA NDUGAI NI HILI; "JE, NI NANI ANAYEULIZA MASWALI, NA KUWASEMEA WANANCHI WA JIMBO LA SPIKA NDUGAI?'
Kama kuuliza maswali ni umahiri Majaliwa ndiye mbunge bomu kabisaSpika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali....
Haya wewe mwenzao tueleze Mbowe kamkosea nn Ndugai? Juzi alizungumza nn kumuhusu au kuwahusi nyie wenzaoChadema wanapenda kujadili wenzao lakini wao kujadiliwa huwa wanakata moto haraka sana wanahamia kwenye matusi na ugomvi.
Sawa. Sasa jimbo la hai limepata mbuge anayeuliza maswali, na kuwasemea wanaichi wa jimbo hilo. Swali langu kwa mh. Spika Ndugai ni hili; "Je, ni nani anayeuliza maswali, na kuwasemea wananchi wa jimbo la spika Ndugai?'
Anaendeleza alipo ishia mwana kwenda jumlaHili jamaa huwa na ujinga mwingi sana.... he will go down in history as the worst Speaker ever. Badala ya kufanya kazi ya kuongoza bunge, amekazana na mipasho.
Ametahiriwa uzeeni huyo ndiyo maana akili zake ni fupiSpika nae kazidi mipasho kama mwanamama
Walirostishwa saivi wapo na mchemshoHai hakuna matatizo ya r na l huyu arudi kwao akachunge ng'ombe
Mwana kulitafita mwana kulipata.Huyu anamfuata fuata Mbowe
Radio Ina spika mbovu inakoroma tuSpika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali.
Akiwa Bungeni Dodoma leo, Ndugai amesema, "Alikuwa haulizi maswali Bungeni, haeleweki. Lakini sasa Mbunge mnaye kabisa"
Kauli yake imekuja baada ya Mbunge Saasisha Mafuwe kuhoji ni lini Serikali itatekeleza ahadi ya kumaliza mgogoro wa ardhi uliopo kati ya wananchi na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (KIA).
Mbunge huyo amesema mgogoro umekuwepo muda mrefu, na jambo hilo limesababisha wananchi kukosa maeneo ya malisho na kuishi kwa wasiwasi kwenye maeneo yao.
Pia soma > Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG
Aliyemtukana mwenzake ni nani hapo? Mbona kama huyu kaja na mashambulizi ya kumshambulia mtu na sio chama,Chadema wanapenda kujadili wenzao lakini wao kujadiliwa huwa wanakata moto haraka sana wanahamia kwenye matusi na ugomvi.