Spika Ndugai: Jimbo la Hai limepata Mbunge, aliyekuwepo kabla alikuwa anazurura, haulizi maswali Bungeni

Ndungai hajui hata wajibu wa bunge tunamjua miaka yote ni dhaifu. Kageuza bunge kijiwe cha kupiga story.
 
Spika nae kazidi mipasho kama mwanamama
KALE KAUGONJWA SI UNAJUA....🤣🤣🤣🤣

Halafu ukiwa vidole vya miguuni havijatimiaa....plus ile NUNDU kwenye CHOGO.....🤣🤣🤣

UNATEGEMEA NINI?

NI SHUDU KWA KWENDA MBELE 🤣🤣🤣🤣
 
Anafikiri bado ni kipindi kile alipokuwa anakingiwa?. Hajui anatafutiwa taget,hasa matibabu yake huko nje.
 
SAWA. SASA JIMBO LA HAI LIMEPATA MBUGE ANAYEULIZA MASWALI, NA KUWASEMEA WANAICHI WA JIMBO HILO. SWALI LANGU KWA MH. SPIKA NDUGAI NI HILI; "JE, NI NANI ANAYEULIZA MASWALI, NA KUWASEMEA WANANCHI WA JIMBO LA SPIKA NDUGAI?'
Jimbo lake halina shida..uchaguzi ukikaribia akipika ubwabwa na vipombe vya kienyeji anapita bila kupingwa...
 
Chadema wanapenda kujadili wenzao lakini wao kujadiliwa huwa wanakata moto haraka sana wanahamia kwenye matusi na ugomvi.
Haya wewe mwenzao tueleze Mbowe kamkosea nn Ndugai? Juzi alizungumza nn kumuhusu au kuwahusi nyie wenzao
 
Hii takataka bora mi ARVs ilikatae tu mapema maana ni janga kubwa kwa nchi, believe me akiitwa tu mawinguni hamtaamini watakaokalia kiti watakavyomuua na kufukua upuuzi wake , mamtu kama haya ndio kama lile la kule kitovuni tu
 
Waliokua wanasema huyu mwamba ana shida kwenye ubongo nilikuaga nawaona wazushi ila as days goes kama naona walikua sawa vile
 
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali.

Akiwa Bungeni Dodoma leo, Ndugai amesema, "Alikuwa haulizi maswali Bungeni, haeleweki. Lakini sasa Mbunge mnaye kabisa"

Kauli yake imekuja baada ya Mbunge Saasisha Mafuwe kuhoji ni lini Serikali itatekeleza ahadi ya kumaliza mgogoro wa ardhi uliopo kati ya wananchi na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (KIA).

Mbunge huyo amesema mgogoro umekuwepo muda mrefu, na jambo hilo limesababisha wananchi kukosa maeneo ya malisho na kuishi kwa wasiwasi kwenye maeneo yao.

Pia soma > Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG
Radio Ina spika mbovu inakoroma tu
 
Chadema wanapenda kujadili wenzao lakini wao kujadiliwa huwa wanakata moto haraka sana wanahamia kwenye matusi na ugomvi.
Aliyemtukana mwenzake ni nani hapo? Mbona kama huyu kaja na mashambulizi ya kumshambulia mtu na sio chama,
ndugai bado ni ni mchanga sana kisiasa na anadhani matusi ndiyo siasa.

MBowe ni mtu makini sana na anajua kile anachokifanya. Yuko direct kwa maslah ya nchi na sio huu ujunga wenu maccm
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom