Spika Ndugai: Jimbo la Hai limepata Mbunge, aliyekuwepo kabla alikuwa anazurura, haulizi maswali Bungeni

Hili jamaa huwa na ujinga mwingi sana.... he will go down in history as the worst Speaker ever. Badala ya kufanya kazi ya kuongoza bunge, amekazana na mipasho.
 
Ndugai kuna uwezekano mkubwa aliibiwa kimwana na Mbowe ,
Kila alhamis nani akiyekua anamuuliza waziri Mkuu maswali ya kwanza?
Ndugai kumbukumbu zilishamtoka siku nyingi. Anachojua yeye ni kusema hivi: "Atake asitake lazima tumuongezee muda wa Urais. Haiwezekani mtu anawafanyia kazi nzuri halafu eti mbanwe na makaratasi tu yanayoitwa katiba. haiwezekani.

Wewe Mh. Kessy hiyo hoja itunze tu tukutane bunge lijalo tuianzishe, ujue na spika ni mimi. Hakuna kinachoshindikana".
 
Haya mambo ndio mama hapendi Kila siku ni mipasho na mama ameshasema saiv kazi iendelee.
 
Ndugai anamuogopa na kumchukia Mbowe sababu ya hekima ya Mbowe na za kwake zimepishana kama mbingu na ardhi
 
Mbowe usirudi tena bungeni uliturostisha sana wana hai. Mbowe hastahili kupewa heshima anayopewa.
Kwanini unaona wivu Mbowe kupewa hshima anayopewa? Unataka hiyo heshima anayopewa Mbowe apewe nani?
 
Kuna watu kama Ndungai unaweza kuwaombea mabaya kwa jinsi wanavyoudhi lakini ukikumbuka ni baba wenye familia,mke watoto na ndugu wanawategemea unabaki tu kuomba rehema!Ndungai ni cancer katika Taifa letu!
 
Wewe unaona alichokisema Ndugai ni sahihi mkuu?

Mbona hajasema kwenye jimbo la Ruangwa, na majimbo yote wanakotoka mawaziri nani anawasemea au jimbo lake yeye mwenyewe ambako hali si hali si unaona kabisa huyu mtu ana chuki tu Mbowe
Liko wazi anamuogopa na kumchukia Mbowe
 
Hongera sana Mhe.Saashisha. Nakumbuka ulianza kutekeleza shughuli za kibunge hata kabla ya kuwa mbunge rasmi kwa sababu Mbowe alikuwa ametoroka jimbo la Hai.
 
Kifupi Ndugai ni muongo, anaongopea wananchi..Kwani anadhani tulikuwa hatumsikii akiongea? Au anadhani hatuna CLIP za Mbowe akiongea bungeni? SASA NAANZA ZAIDI ZA KWANINI BUNGE LILIKUWA HALIRUSHWI LIVE
 
Back
Top Bottom