Magema Jr
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,299
- 1,201
Nani kakimbia?? Au wale wehu wa ufipa walioogopa fedheha baada ya kukalia kuti kavu?Kwa nini anasema ni mahali salama sasa?
Kwa nini watu wanakimbia?
Nani kakimbia?? Au wale wehu wa ufipa walioogopa fedheha baada ya kukalia kuti kavu?Kwa nini anasema ni mahali salama sasa?
Kwa nini watu wanakimbia?
sasa spika analalamika nini?Nani kakimbia?? Au wale wehu wa ufipa walioogopa fedheha baada ya kukalia kuti kavu?
Duh unaweza kukuta wewe ni mtoto wa kiumeLisu ukuje huku imekula kwako hiloooooooooooooo Lionel!!!!
Umezunguka weeeee kunadi Act wazalendo ukome waaambie na wazungu wako hiii ndio Tanzania uliyokuwa ukiwadanganya kujitia unaijua ili uwalie pesa zao
Refund back their money
Mil 11 kwa mwezi , Mil 90 mkopo wa gari, mafao si chini ya Mil 240, bado ana posho za kamati na vikao vya bunge.
Kwa nini wasiongee huo upuuzi hapo?
La uhuru wa ndoa za jinsia moja unao usubiri weweUzuri (na Cha kuhuzunisha papo) ni kwamba siku Uhuru wa kweli kutoka kwa mkoloni mweusi utakapopatikana wote tutaufurahia akiwemo wewe, wanao, wajukuzo na vitukuzo. Mandela alikebehiwa Sana na makaburu, walimtukana mpaka matusi ya dhihaka ya nguon lakin mzee alivumilia kwa miaka 27 na zaidi. Leo hii wote wa sauzi wanaufurahia uvumilivu wa mzee Madiba na ndivyo ilivyo kote duniani... Tudhihakini lakin tutavumilia kwa vizazi vya Sasa na vijavyo...mapambano ya demokrasia hayatakoma kamwe kamwe.
wananchi mtakapo amuaHizi ngonjera mwisho lini.
Kwani shida yako nini?Lisu huyu huyu aliekimbilia kwa Amsterdam?
Sasa hivi unacomment kinyonge sana. Ngoja nikukumbushe kipindi kile ulivyokuwa
"Mwaka huu hatutakubali"
"Lissu ndio dawa yenu"
"Lissu sio Lowassa, mtajua hamjui mwaka huu"
"Uchaguzi huu hatumuachii Mungu"
"Huu uchaguzi ni muhimu kuliko wowote ule"
"Mwaka huu sasa basi, mtaijua nguvu ya umma"
Siku mbili Baada ya uchaguzi ukawa hivi
"Maandamano ndio dawa yenu"
"Maandamano ni nchi nzima mpaka mtoke"
"Lissu anza mazoezi ya kuapa"
"Uchaguzi ni lazima urudiwe"
Baada ya hapo ukawa hivi
"Subirini ICC"
"ICC itawamalizia mbali"
"Vikwazo vinakaribia'
" bado kidogo vikwazo vianze"
Pole sana
Machadema yameumia😂. Hii nchi ukizira, tunakuacha na kuendelea na program zetu.CCM B hiyo!
Kwa hilo shetani kafanikiwa. Ila yasikitisha anaposhangiliwa.Machadema yameumia😂. Hii nchi ukizira, tunakuacha na kuendelea na program zetu.