Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 852
- 795
Wasaliti, wachumia tumbo, CCM B+
Kinapigania uzalendo!Kilichofanyika na ACT mtanzania anayejitambua hawezi kuwaunga mkono.Hiki chama haeleweki kinapigania nn
Haahaa maalim anawatumia wapemba kubeba marupurupu kwa kisingizio Cha maridhiano ya kitaifaZanzibar hakuna watu wenye misimamo ya kisiasa bali wafuasi wa Maalim, hata akisema watembee uchi watashangilia
Haahaa uzalendo wa kuwaambia watu waandamane kupinga dhuluma ya uchaguzi, Kisha watu wanavunjwa viuno Kisha anaunga mkono uchaguzi huohuoKinapigania uzalendo!
Wametekeleza matakwa ya katiba ya Zanzibar!Haahaa uzalendo wa kuwaambia watu waandamane kupinga dhuluma ya uchaguzi, Kisha watu wanavunjwa viuno Kisha anaunga mkono uchaguzi huohuo
Na sasa umoja wa ulaya watoa msaada mabilioni kusaidia sector ya umeme, sijui anajisikiaje huko anakopishana nao makoridoniSasa hivi unacomment kinyonge sana. Ngoja nikukumbushe kipindi kile ulivyokuwa
"Mwaka huu hatutakubali"
"Lissu ndio dawa yenu"....
Wivu unakutafuna wewe,watu wameangalia maslahi mapana ya nchiCCM B hiyo!
N wewe lini utakuwa mkimbizi,hamia Canada, tuachie nchi yetu.Wanasema ni B+
Hata sasa niko PretoriaN wewe lini utakuwa mkimbizi,hamia Canada,tuachie nchi yetu.
Mpumbavu ni wewe usiejua hata kuandikaKwasababu tunawanasiasa wapumbavu ukimtoa Lissu na wachache baadhi Yao CCM itaendelea kuwaonea watanzania kwa kipindi kirefu Sana na pia kwasababu watanzania wengi ni wajinga watabaki maskini kwa miaka dahari.
Basi msituharibie nchi yetu nyie wakimbizi hewa.Hata sasa niko Pretoria
Nimeshangaa aisee,au jamaa itakua kakosa hizi teuzi 😃Acha kudeal na Lissu aliyekuzidi kila kitu. Msome mwenzako Stroke anavyotema madini
He na sasa uyo mgombea wao urais hakusikiliza agizo la chama cha akijipigia kampen ya urais eti apate 5% vote badae achaguliwe uwaziri kule zanzibar, na alikuwa akipigia kampenzi mbunge wa ccmSasa mbona Lisu na Chadema mlitelekeza hadi mgombea uraisi wenu zanzibar mkajiunga na Act wazalendo kwa nini?
Wafungue mara ngapi!waulize ruzuku ya mwezi nov kama waliikataa 🤣Safi kabisa ACT WAZALENDO mmeonesha njia nafikiri ufipa napo watafungua moyo...inapendeza sana hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa.