Spika Ndugai aelezea utaratibu wa Chenge kuvuliwa uenyekiti wa bunge

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,567
2,000
Katika ripoti ya pili ya Kamati ya kutathmini mchanga wa madini Mbunge wa Bariadi, Andrew Chenge ametajwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo kuwa alikuwa na mchango mkubwa wa kulisababishia Taifa hasara kubwa kutokana na kuandaa au kusaini mkataba mbovu wa madini unaoyaruhusu makampuni ya uchimbani kusafirisha mchanga huo kwenda nje ya nchi pamoja na kukubali viwango vidogo vya mrabaha kwa Taifa katika sekta ya madini.

Miongoni mwa mapendekezo yaliyotolewa kwa Rais na Mwenyekiti wa kamati hiyo ni pamoja na kuwashughulikia viongozi na watendaji wote wa Serikali walioshiriki kusababisha hasara hii kwa zaidi ya miaka 19.

Rais Dkt. Magufuli akiongelea pendekezo hili aliagiza vyombo vinavyohusika viwaite watu wote waliotajwa ili wahojiwe.

Baada ya kauli hiyo ya Rais, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa Chenge ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Bunge mpaka atakapoitwa na kuhojiwa kuhusu mchanga wa madini (makinikia). Spika Ndugai alisema hakuna kanuni inayomzuia Chenge kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bunge kwa sasa.

“Kwa sasa hapana. Ataachia nafasi hiyo atakapoitwa kuhojiwa; akishathibitika ndio atatoka kwenye nafasi ya Uenyekiti,” alisema.

Utaratibu unaeleza kwamba Ofisi ya Spika ikishapata taarifa ya Mbunge au kiongozi fulani wa Bunge kuhitajiwa na chombo cha dola na Spika akatoa ruhusa hiyo, Mbunge huyo ataachia madaraka yake na kubaki na ubunge tu.

Mwenyekiti wa kamati ya pili ya kuchunguza hasara iliyoletwa na kusafirisha mchanga wa madini, Profesa Nehemiah Osoro alisema kuwa wakati Taifa linapitisha Sheria na mikataba ya hovyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali alikuwa ni Andrew Chenge.
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,217
2,000
Sijaskia kuhusu habari hii ila kama ni kweli ni hatua muhimu kuelekea kuwatia mbaroni mafisadi papa
 
Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,693

Kwani wakati wa Escrow alivuliwa uenyekiti wa kamati ya bajeti baada ya kuhojiwa?!!!!
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
6,590

Kutuhumiwa si kuzuri kwa kiongozi mkuu kama Chenge. Ripoti imemhusisha tayari, kwani ripoti ya tume imedanganya?. Mh. Chenge lazima akae pembeni ili uchunguzi juu yake usiwe na ukakasi.
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
12,783
2,000
Katika ripoti ya pili ya Kamati ya kutathmini mchanga wa madini Mbunge wa Bariadi, Andrew Chenge ametajwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo kuwa alikuwa na mchango mkubwa wa kulisababishia Taifa hasara kubwa kutokana na kuandaa au kusaini mkataba mbovu wa madini unaoyaruhusu makampuni ya uchimbani kusafirisha mchanga huo kwenda nje ya nchi pamoja na kukubali viwango vidogo vya mrabaha kwa Taifa katika sekta ya madini.

Miongoni mwa mapendekezo yaliyotolewa kwa Rais na Mwenyekiti wa kamati hiyo ni pamoja na kuwashughulikia viongozi na watendaji wote wa Serikali walioshiriki kusababisha hasara hii kwa zaidi ya miaka 19.

Rais Dkt. Magufuli akiongelea pendekezo hili aliagiza vyombo vinavyohusika viwaite watu wote waliotajwa ili wahojiwe.

Baada ya kauli hiyo ya Rais, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa Chenge ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Bunge mpaka atakapoitwa na kuhojiwa kuhusu mchanga wa madini (makinikia). Spika Ndugai alisema hakuna kanuni inayomzuia Chenge kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bunge kwa sasa.

“Kwa sasa hapana. Ataachia nafasi hiyo atakapoitwa kuhojiwa; akishathibitika ndio atatoka kwenye nafasi ya Uenyekiti,” alisema.

Utaratibu unaeleza kwamba Ofisi ya Spika ikishapata taarifa ya Mbunge au kiongozi fulani wa Bunge kuhitajiwa na chombo cha dola na Spika akatoa ruhusa hiyo, Mbunge huyo ataachia madaraka yake na kubaki na ubunge tu.

Mwenyekiti wa kamati ya pili ya kuchunguza hasara iliyoletwa na kusafirisha mchanga wa madini, Profesa Nehemiah Osoro alisema kuwa wakati Taifa linapitisha Sheria na mikataba ya hovyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali alikuwa ni Andrew Chenge.
mwageni mboga, joka litamwaga ugali!
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,515
2,000
kama ripoti si hukumu mbona Muhongo alitumbuliwa kwa Ripoti hizohizo? wacha kuupotosha umma.
Km chenge anamakosa mbona miccm ndo iliyopitisha haya mambo bila kuhoji lolote?

Kibaya zaidi magufuli ameshajua utamu wa hiki kipendele cha kutokushitaki rais akiwa madarakani. Atakitumia ipasavyo!!
Hapo tayari ameshawalazimisha wanasheria wasaini mikataba ya bormberdier na wala hatapeleka bungeni ijadiliwe. Ameshawalazimisha tayari wanasheria wasaini mkataba wa ujenzi wa chato international airport na hawezi kupeleka sheria husika ipitiwe bungeni na akili kubwa za upinzani.....
 
jerrytz

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
5,941
2,000
Ile sehemu ya tuhuma imeisha kinachofuata ni sehemu ya kuthibitisha. Hapa ndipo mnapowachanganya wananchi maana Ndugai aliikubali ripoti ya tume leo tena anasubiri uthibitisho wa muhusika Chenge.
Wananchi endeleeni kufanya kazi maana huu ni upepo na utapita tu.
 
Wahenga waliposema ...mbio za sakafuni...... sio wajinga, siku zao sio nyingi vile
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
10,766
2,000
Katika ripoti ya pili ya Kamati ya kutathmini mchanga wa madini Mbunge wa Bariadi, Andrew Chenge ametajwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo kuwa alikuwa na mchango mkubwa wa kulisababishia Taifa hasara kubwa kutokana na kuandaa au kusaini mkataba mbovu wa madini unaoyaruhusu makampuni ya uchimbani kusafirisha mchanga huo kwenda nje ya nchi pamoja na kukubali viwango vidogo vya mrabaha kwa Taifa katika sekta ya madini.

Miongoni mwa mapendekezo yaliyotolewa kwa Rais na Mwenyekiti wa kamati hiyo ni pamoja na kuwashughulikia viongozi na watendaji wote wa Serikali walioshiriki kusababisha hasara hii kwa zaidi ya miaka 19.

Rais Dkt. Magufuli akiongelea pendekezo hili aliagiza vyombo vinavyohusika viwaite watu wote waliotajwa ili wahojiwe.

Baada ya kauli hiyo ya Rais, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa Chenge ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Bunge mpaka atakapoitwa na kuhojiwa kuhusu mchanga wa madini (makinikia). Spika Ndugai alisema hakuna kanuni inayomzuia Chenge kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bunge kwa sasa.

“Kwa sasa hapana. Ataachia nafasi hiyo atakapoitwa kuhojiwa; akishathibitika ndio atatoka kwenye nafasi ya Uenyekiti,” alisema.

Utaratibu unaeleza kwamba Ofisi ya Spika ikishapata taarifa ya Mbunge au kiongozi fulani wa Bunge kuhitajiwa na chombo cha dola na Spika akatoa ruhusa hiyo, Mbunge huyo ataachia madaraka yake na kubaki na ubunge tu.

Mwenyekiti wa kamati ya pili ya kuchunguza hasara iliyoletwa na kusafirisha mchanga wa madini, Profesa Nehemiah Osoro alisema kuwa wakati Taifa linapitisha Sheria na mikataba ya hovyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali alikuwa ni Andrew Chenge.
Inamaana maelezo yote yale mzee chenge bado haijathibitishwa kama muhusika, nawaambieni hakuna muhusika atakaepatina kwa sanaa hizi
 
Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
1,465
2,000
Nionavyo nikwamba Ndugai hakubaliani na ripoti ya tume hiyo ndio maana haoni sababu ya kumuondoa Chenge kwenye uenyekiti
Wapo waliopiga kelele asipewe vyeo bungeni lakini spika kagoma

Mh.Raisi mwambie Ndugai amvue uenyekiti wa binge huyo jamaa yake au mfukuze chamani huyo maana pia haoni madhara ya wizi huo

Mwenyekiti fukuza Ndugai anataka kucheza na akili za waliowengi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom