Spika Ndugai aelezea utaratibu wa Chenge kuvuliwa uenyekiti wa bunge

Siasa tu hizi za kutafuta umaarufu,ofisi ya spika ikidhibitisha???itasubiri sana hilo....
 
Kutuhumiwa si kuzuri kwa kiongozi mkuu kama Chenge. Ripoti imemhusisha tayari, kwani ripoti ya tume imedanganya?. Mh. Chenge lazima akae pembeni ili uchunguzi juu yake usiwe na ukakasi.
nmejiuliza hili swali zamaani saaana kamati zinakuja na wanatuhumiwa kwenye masakata mbalimbali ila mwisho wa siku wanaibuka kidedea hawana hatia,je kamati zimeudanganya uma na aliyeziteua?? na kwa manufaa ya nani?? why hawashikwi?? na kama kamati zimedanganya mbona haziwajibishwi??

nawaza na popcorn zimeisha hapa!!
 
Mbona bashite katuhumiwa hajakaa pembeni, kaambiwa chapa kazi tu, chenge ndio akae pembeni rejea hutuba ya mkapa pale kakola! Utajua kosa la nani?
 
Unayosema ni kweli kabisa, lakini mchakato wa kumshughulikia joker LA makengezer utasababisha kuchafuliwa sana kwa hali ya hewa na vumbi jingi kutimka! Hata kama mwisho wa siku joker likatiwa hatiani lakini wakubwa hawako tayari kuona hali ya hewa inachafuka kivile na kulazikmika kutumia nguvu ya ziada kuwalinda wazee waendelee kupumzika! Hilo wazee hawatalipenda!

Joker lilikuwa katika nafasi ya kujua na kushiriki mambo ya ndani sana! Its a black mail of some kind!
Teh teh teh. Jf ina-comment hii! Joker LA makengezer ndiyo joker gani hilo?
 
Back
Top Bottom