Spika mtarajiwa

akohi

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
788
524
Kwa maono yangu, naona Anna Makinda anajuta kupewa majukumu mazito na ninahakika hata kuja rudia tena na nifundisho kwa akina mama.
Pia hata wale walifikiri Usipika ni lele mama sasa kila mtu inbid ajiulize mara mbili mbili maana sio km walivyotarajia kama ambavyo mkuu wa kaya kasema juzi kuwa haoni haja ya kufanya mabadiliko maana muda ulio salia ni mchache.
 
No point in your point if any. What is the issue? Mwanangu ulitaka kumaanisha nini kutokana na hiyo ngonjera na hadithi yako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom