Christiano Ronaldo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 258
- 41
Ni ule mkwara wa jada wa kumpigia kura ya kutokua na imani nae labda ndio maana kanywea
Msimamo wa Makinda toka mwanzo uko wazi. Alishasema wakati ule wa BMK kwamba ripoti hiyo ingefika bungeni watu serikalini wangekuwa nje. Bado msimamo wake huo huo. Jana wengine hamkumwelewa tu.