MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,510
View attachment 205400
jamaa: Kwanini kila siku unaiba
mbwa: sio mimi unanisingizia
jamaa: Hizi video nilizokuonyesha za nani ??
mbwa: Sio zangu wameedit
jamaa: wiki iliyopita nzima umeiba kuku wa mama mwanakombo Juzi umeiba mboga ya mama mwajuma jana umekula chakula cha chausiku zote nimekutetea na wakanielewa.
Sasa leo umeiba fungu langu la dagaa nilionunua mia tano kwa ajili ya ugali na kachumbali ugali wenyewe kilo bora ungekuwa nusu ningekunywa na maji ningelala
Mbwa: Nisamehe sirudii tena
jamaa: Sasa hili ni "Onyo la mwisho unanisikia"
Mbwa:Ndio
jamaa: Sasa ukirudia tena nakurudisha kwenu Iringa