Nikiona jinsi mtapanyo wa fedha ulivyomwaga naamini kabisa hakuna uhadilifu katika hili la ESCROW,mstari wa uvumilivu umeshachorwa,huu ni wakati wa wabunge wazalendo na watetezi wa wanyonge kuonyesha njia kwa vitendo,ili majina yao yaandikwe kwa wino wa dhahabu,lazima mabadiliko yatokee,hisiwe ishu ya upepo tu utapita,wananchi wanateseka sana katika nchi yao,waliwachagua nyie wabunge mkawatetee na kuisimamia serikali,tumepata short term reason,hata vita ya kwanza ya dunia ilikua na long term reason na short term reason,na short term reason ndo ilianzisha vita ya dunia,tumepata sababu ya haraka kuvunja mfumo wa unyonyaji na wizi katika serikali,Ila wabunge ambao wameamua kutetea wananchi,mimi kama mtanzania,kama ANNE MAKINDA ateleta upuuzi wake,basi aingie katika historia kuliingiza taifa katika machafuko,WABUNGE WAUNGANE WAWATANGAZIE WANANCHI HIYO JUMATANO WAZUNGUKE BUNGE,ili kukitokea ulaghai wabunge wa upinzani na baadhi wazalendo{ccm} wasikubali kutoka ndani ya bunge,wakikomaa siku mbili au tatu historia mpya itaandikwa
WABUNGE WAZALENDO UKITOKEA USANII WOWOTE TUNAWAOMBA MVUMILIE ATA WIKI MMOJA MSITOKE KATIKA UKUMBI WA BUNGE,TUTAWALETEA CHAKULA HUMOHUMO NDANI,NAAMINI MKIKAA WIKI NDANI YA UKUMBI,MNALALA HUMO HUMO HAWA MANYANG'AU WATAKIMBIA NCHI,MUAMASISHE WANANCHI WAJE VIWANJA VYA BUNGE SIKU YA HOJA YA ESCROW,TUNAOMBA HII IWE YA MWISHO KWA MAFISADI