Spika Makinda: Mjadala hauzuiliki

Spika Makinda: Mjadala hauzuiliki

Nimeona spika akimuhakikishia Mnyika kuwa mjadala huo lazima ufanyike hata kama PAP wamefungua kesi kuzuia mjadala huo usiendeleee.....ila amesema bado hajapokea barua kutoka PAC ya kuwa tayari kwa mjadala
 
Spika wa Bunge,Anne Makinda amesema kuwa Mjadala wa Ripoti za CAG na TAKUKURU juu ya Escrow hauzuiliki. Spika Makinda alinidokeza kuwa kwa hali iliyopo,mjadala utafanyika na maamuzi kufikiwa. Ameongeza kuwa Ripoti husika zimeshaanza kugawiwa kwa Wabunge kama alivyoahidi jana asubuhi Bungeni.

"Mjadala utafanyika. Kujaribu kuuzuia ni kujitafutia lawama. Sina cha ku-save hapa zaidi ya kuongoza mjadala na kufikia maazimio" alisema Spika Makinda huku akiangua kicheko.

Mambo ni moto. Kaeni mkao wa kula. Kesho msiangalie hata pembeni. Best wishes to Zitto,Parliamentarians and the Cabinet!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (Dodoma kwa kazi maalum)

na hao PAP waliotinga mahakama kuu.........
 
na hao PAP waliotinga mahakama kuu.........

Makinda amehakikisha kuwa mjadala lazima ufanyike.....alikuwa akijibu muongozo wa Mnyika kuhusiana na PAP kwenda mahakamni.....amesema bunge lina hadhi...mamlaka...pamoja na kinga...
 
Mara ya mwisho kupimwa vipimo vya tezi dume ilikuwa lini?

Mimi ndo nilimfanyia vipimo, nilimuwekea kidole kwenye 0713 yake nakamwambia aheme, niligundua ana tezi dume lakini ilikuwa haijakomaa ila kwa sasa nadhani itakuwa ishakuwa sugu
 
Ngoja tusubir tuone jinsi Mwenyekiti wa DHADEMA , FREEM MBOWE atakavyojitetea kwa Mwenyekiti wa PAC, ZITTO KABWE

Bila shaka mbowe alikufumua malinda na hakukulipa haki yako,endelea kulialua tu
 
Jitihada za MBOWE kuuzuia kupitia MARANDO kwa hiyo zitakuwa zimegonga mwamba
Mara ya mwisho kupimwa vipimo vya tezi dume ilikuwa lini?

Mkuu mbona mnamshambulia huyu jamaa? Kuna taarifa kuwa katika ripoti ya CAG, Mbowe alivuta 1.5 bilioni za ESCROW. Sasa kama ni uzushi basi tungoje ripoti ikijadiliwa tuwajuwe wahusika waliopata huo mgao.
 
Ngoja tusubir tuone jinsi Mwenyekiti wa DHADEMA , FREEM MBOWE atakavyojitetea kwa Mwenyekiti wa PAC, ZITTO KABWE

mavi ni mavi tu hata uyapake utuli yatanuka tuu!nafikiri na wewe ni mavi kwakweli maana kichwa chako ni shida.
 
Best wishes To zitto for what?

Nahisi wewe ni familia moja na akina Nguruvi3 na mchambuzi kwani roho zinawauma sana wakisikia hilo jina. Subirini kesho dogo na tumbili mwenzie walambe mzungu wa nne ili roho ziwatoke vizuri... wivu unaua.
 


(Ow, ow-ow-ow-ow!
Ow, ow-ow-ow-ow!)

Yeah, yeah, yeah!
How can you be sitting there
Telling me that you care -
That you care?
When every time I look around,
The people suffer in the suffering
In everyway, in everywhere.


Say: na-na-na-na-na (na-na, na-na!):
We're the survivors, yes: the Black survivors!
I tell you what: some people got everything;

Some people got nothing;
Some people got hopes and dreams;
Some people got ways and means.

Na-na-na-na-na (na-na, na-na!):
We're the survivors, yes: the Black survivors!
Yes, we're the survivors, like Daniel out of the lions' den
(Black survivors) Survivors, survivors!

So I Idren, I sistren,
A-which way will we choose?
We better hurry; oh, hurry; oh, hurry; wo, now!
'Cause we got no time to lose.
Some people got facts and claims;
Some people got pride and shame;
Some people got the plots and schemes;
Some people got no aim it seems!

Na-na-na-na-na, na-na, na!
We're the survivors, yes: the Black survivors!
Tell you what: we're the survivors, yeah! - the Black survivors, yeah!
We're the survivors, like Shadrach, Meshach and Abednego
(Black survivors),

Thrown in the fire, but-a never get burn.
So I Idren, I-sistren,
The preaching and talkin' is done;
We've gotta live up, wo now, wo now! -
'Cause the Father's time has come.
Some people put the best outside;
Some people keep the best inside;
Some people can't stand up strong;
Some people won't wait for long.


(Na-na-na-na-na!) Na-na-na, na-na-na na!
We're the survivors
In this age of technological inhumanity (Black survival),
Scientific atrocity (survivors),
Atomic misphilosophy (Black survival),
Nuclear misenergy (survivors):
It's a world that forces lifelong insecurity (Black survival).

Together now:

(Na-na-na-na-na!) Na na-na na na! (Na na-na na na!)
We're the survivors, yeah!
We're the survivors!
Yes, the Black survivors!
We're the survivors:

A good man is never honoured (survivors)
in his own yountry (Black survival).
Nothing change, nothing strange (survivors).
Nothing change, nothing strange (Black survivors).
We got to survive, y'all! (survivors) - /fadeout/

[*Sleeve notes:
But to live as one equal in the eyes
Of the Almighty.]


 
Last edited by a moderator:
Ni ule mkwara wa jada wa kumpigia kura ya kutokua na imani nae labda ndio maana kanywea

Hii ndo shida ya wa-Tz akili kama vichwa vya habari vya magazeti ya Tz! Eti amenywea! Kangetunisha misuli tungebaki tunalalama tu wala tusingekafanya chochote! Tuwe wastaarabu bwana, huyu mama naye ni m-Tz kama sisi!
 
Best wishes To zitto for what?

Mara ya mwisho kupimwa vipimo vya tezi dume ilikuwa lini?
wewe jishoga la mbowe nenda kamtumikia mbwana wako huo. sisi hapa tunajadili mambo ya maana na kusubiri kwa hamu ripoti itakayosomwa na MHESHIMIWA ZITTO, mwenyekiti wa PAC. tunajua inakuuma sana na ungetamani labda hiyo nafasi angekuwa nayo basha wako mbowe, slaa au lema lakinindo hivyo hawana sifa na sio ajabu kwenye hizi tuhuma yumo. fal'a wewe.
 
Wakati macho na masikio ya watanzania wote bila kujali itikadi ya vyama vya siasa yakielekezwa bungeni mjini Dodoma kesho katika mjadala maalum wa kujadili wizi wa fedha za wananchi zipatazo bilion 300 kutoka katika akaunti ya Tegeta-Escrow na kufahamu hatma yake, upande wa watuhumiwa mbalimbali wa kashfa hiyo wanahaha kuhakikisha muda wa bunge wa kujadili mambo mbalimbali unaoisha tarehe 28/11/2014 unaisha bila kuleta madhara yeyote kwao..
Mbinu hizo ni pamoja na ile ya kudanganya umma kwa kusambaza nyaraka za ripoti ya CAG iliyoibwa huku baadhi ya nyaraka zikiwa zimenyofolewa. Mara baada ya mbinu hiyo kushindwa, umeandaliwa mpango mwingine wa kuzua fujo kwa namna yeyote ile ili bunge liahirishwe na muda upotee bure..
Rai yangu kwa waheshimwa wabunge..simamieni suala hili kwani matumaini ya watanzania yapo kwenu..hakikisheni hapatokei mwanya wowote wa vurugu pamoja na rushwa ili mtutendee haki watanzania..
N.B. Ole wenu TANESCO mkate umeme kesho hadi ijumaa..'tutawahausigelo' vibaya mno yani... Dharura zianze jumamosiii... Naomba kuwasilisha
 
Toxic Magnesium Sulphate ... Nani kakumbia .. mpango wa pili umekwama ... Game ni Dk 90 kabla ya hapo .. porojo tu
 
Daudi Mchambuzi..! Naamini report ya CAG ushaipata.. tafadhali irushe hapa..
 
Back
Top Bottom