Spika Makinda: Mjadala hauzuiliki

Spika Makinda: Mjadala hauzuiliki

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Spika wa Bunge,Anne Makinda amesema kuwa Mjadala wa Ripoti za CAG na TAKUKURU juu ya Escrow hauzuiliki. Spika Makinda alinidokeza kuwa kwa hali iliyopo,mjadala utafanyika na maamuzi kufikiwa. Ameongeza kuwa Ripoti husika zimeshaanza kugawiwa kwa Wabunge kama alivyoahidi jana asubuhi Bungeni.

"Mjadala utafanyika. Kujaribu kuuzuia ni kujitafutia lawama. Sina cha ku-save hapa zaidi ya kuongoza mjadala na kufikia maazimio" alisema Spika Makinda huku akiangua kicheko.

Mambo ni moto. Kaeni mkao wa kula. Kesho msiangalie hata pembeni. Best wishes to Zitto,Parliamentarians and the Cabinet!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (Dodoma kwa kazi maalum)
 
Jitihada za MBOWE kuuzuia kupitia MARANDO kwa hiyo zitakuwa zimegonga mwamba
 
Ngoja tusubir tuone jinsi Mwenyekiti wa DHADEMA , FREEM MBOWE atakavyojitetea kwa Mwenyekiti wa PAC, ZITTO KABWE
 
Naada ya Mnyaa kumwambia kuwa kuna tetesi kuwa naye kavuta USD millioni mama akapaniki na kuanza kutema cheche kuwa mtani... Sijui alikuwa anataka kusema mtanitambua au vipi. Hapo ndio walipo muweza kwani picha imejengeka kuwa akizuia tuu ni kwamba basi naye anahusika na mama wa watu pengine anajijua hajala hata senti ya nini lawama?
 
Back
Top Bottom