Spika makinda akinusuru chama chake

DISLIKE!!!!!!!! Invisible weka kitufe cha DISLIKE, tutumie haki yetu ipasavyo; nikiipenda hoja nabofya 'LIKE' nisipoipenda niweze kubofya 'DISLIKE'

kama umeipenda na hii bofya LIKE!!!!!!!!!!!!!
Wazo lako limekaa Kidhaifu dhaifu... na ili uamini wewe mwenyewe kuwa u dhaifu kama Mr Dhaufu Mkuu Invisible Atakuona U mdhaifu na Atakuacha kama Ulivyo.. Lini utarejea N.Y Manake Vyeo ulivyokuwa Unavivizia Vishagawiwa.... au hadi Ban iishe... Le Baharia
 
Uwezekano wa bajeti kupita ni mkubwa mwisho wa siku sasa basi Watanzania kwa ujumla wetu tunajifunza nini? Mie kwa muda niliopata kusikiliza bunge katika mjadala wa bajeti nimeona:
1. Muda wa kuisoma na kuielewa bajeti hio haukutumika vema; nasema wengi wa Wabunge wa CCM hawakujiandaa vizuri na hoja za nguvu kuinusuru bajeti kwa mazoea yale yale ya uvivu wa uchambuzi yakinifu, hii inapelekea Spika kutoa muda zaidi bila sababu;
2. Pale Mbunge wa CCM aliposimama kuongea(wengi wao) walishikwa na hamaki na kukosa utulivu wa utetezi na hata hoja kuparaganyika, kweli haipendezi;
3. Wabunge wa CCM wameendelea kugeuka kuwa kama chama cha upinzani wakati dola ni yao na hivo sera ndio silaha zao kubwa anapaswa kuzitetea na kuzipigania. Mheshimiwa Shelukindo kajaribu kuweka bayana juu ya upinzani Vs Chama tawala na wabunge wake, sijui kama itatosha kuwafungua kutoka katika box hao wasiokuwa na fikra kama za Mhesh Shelukindo;
4. Media iendelee kuhabarisha vema wananchi na ninaamini kama watumishi wa bunge wanaweka cuttings za magazeti na hata tahariri pindi wakimaliza bunge wafanye tathmini na kuhakikisha yale wanayoweza kusahihisha wanafanya hivo.
5. Sifurahishwi sana na maneno ya kashfa iwe toka CCM au upinzani kwani kwa sie watazamaji na wahitaji wa huduma hayatusaidii, tunataka nguvu ya hoja. Natokea jimbo la Mnyika ana kazi sana huku jimboni kwake kutupigania maji na huduma zingine. Mhesh Mnyika andaa mazingira ya kuleta maendeleo jimboni kwako we want to feel your direct development interventions.
 
Njia bora ya kuinusuru CCM ni kuiacha ife kisha izaliwe upya. Kwa sasa ni sawa na kupeleka maiti hospitali na kushinikiza daktari aurudishe uhai wa marehemu
 
Back
Top Bottom