Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Kuna taarifa kuwa baada ya mkutano wa wabunge wa jumuiya ya madola kumalizika kuna watu wametengeneza mpaka dola milioni 4 katika kipindi cha wiki mbili mpaka kumalizika kwa kikao kile
Kuna mdau mmoja inasemekana amepata kitita cha kiasi cha bilioni 4 kwa kuwa alijiweka katika mazingira ya kuwmweka vizuri mzee 6 kwa kumsifia kwenye articles za magazeti (under different names\0 na kama zawadi ya malipo basi alipewa dili la booking za mahotelini ambazo risiti zinaonyesha zilikuwa inflated, na kule kwenye mahoteli aliwapiga biti kutwa kama hawataki kupunguza bei basi anaanza ...inshort jamaa kwa kila mgeni mmoja alitengeneza si chini ya dola 100
hapo bado hatujaingia kwenye kukodisha magari ya kuwatembeza wale wageni
.....sasa ombi langu basi hizo pesa itakuwa si vibaya tukachangiwa huku JF maana mtu mmoja kuwa na na dola milioni 4 ni ISTRAF
au mnasemaje?