Spika 6 alivyotajirisha watu wiki iliyopita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika 6 alivyotajirisha watu wiki iliyopita

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Oct 14, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Kuna taarifa kuwa baada ya mkutano wa wabunge wa jumuiya ya madola kumalizika kuna watu wametengeneza mpaka dola milioni 4 katika kipindi cha wiki mbili mpaka kumalizika kwa kikao kile

  Kuna mdau mmoja inasemekana amepata kitita cha kiasi cha bilioni 4 kwa kuwa alijiweka katika mazingira ya kuwmweka vizuri mzee 6 kwa kumsifia kwenye articles za magazeti (under different names\0 na kama zawadi ya malipo basi alipewa dili la booking za mahotelini ambazo risiti zinaonyesha zilikuwa inflated, na kule kwenye mahoteli aliwapiga biti kutwa kama hawataki kupunguza bei basi anaanza ...inshort jamaa kwa kila mgeni mmoja alitengeneza si chini ya dola 100

  hapo bado hatujaingia kwenye kukodisha magari ya kuwatembeza wale wageni

  .....sasa ombi langu basi hizo pesa itakuwa si vibaya tukachangiwa huku JF maana mtu mmoja kuwa na na dola milioni 4 ni ISTRAF

  au mnasemaje?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mhhhh...kaaaz kwelikweli...Hizo taarifa zinatoka wapi?...zina uhakika kiasi gani? Mi naona kama vile imekaa kiushabiki zaidi!Anyway, kwenye booking hawawezi kupanga bei ambayo ni ya kwenye sayari nyingine, kama kuna cha chuu pia sidhani kama kinafikia bei hiyo uliyosema,...lakini kimsingi lazima tuelewe kwamba kwenye ishu kama hizo ni lazima kwa namna fulani baadhi ya watu watajitajirisha!Labda kuna wenye data zaidi....keep us in4rmed!
   
 3. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwani nani alifadhili kikao jule? Ni ofisi ya Bunge TZ?
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  GT
  Lete ushahidi na habari za uhakika. Hii imekaa kitetesi tetesi!
   
 5. A

  August JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  umesema bei iliongezwa kwa kiingereza highly infated, sasa si unaweza ku-quantify kwa kusema eg bei ya chumba impala ni $60 a day lakini wakafanya $100 mara idadi ya wageni.
  pili umesema walikuwa na lazimisha kupunguza bei, sasa hapa nini ni nini kupunguza bei kwa sababu wameletewa wateja wengi/biashara au bei iliongezwa?
   
 6. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  yet another UDAKU
   
 7. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  There are competing in doing sins
   
 8. Robweme

  Robweme Senior Member

  #8
  Oct 14, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  "Acha wivu wewe, unafikiri watu watapate pesa.Kwani ameiba si ni mfanyabiashara dalali, wewe unataka chumba cha dola 900, na mimi nimekutafutia chumba cha kilekile na kukipata kwa dola 800, na ile dola 100 nimeweka mfukoni sasa nifanyeje?si dola 100 naweka mfukoni.Jamani wezi tuwaseme na wafanya biashara tuwaseme itakuwaje? acha wivu wewe".
   
 9. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  GT kwa udaku

  Anahold namba hapa forums
   
 10. M

  Mchili JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tupe mahesabu dola mil 4 zimefikiwaje?? Au unataka tu kumpaka mzee 6 matope.
   
 11. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hii imekaa kiuzushi zaidi!
   
 12. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  watu wanadhani dola million 4 ni makaratasi?hahaha!
  Ivi Sitta mwenyewe anayo hiyo hela?
   
 13. G

  Greyson Nyamoga Member

  #13
  Oct 15, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh wazee, taarifa nyingine ni kuzichunguza kwanza maana isije ikawa nasi twafanya ufisadi mdogo wa kuwazushia watu bure.

  Bilioni 6 jamani ni kiwango cha kutosha kabisa, kama ni kweli hivi hawa Viongozi wetu hawana huruma hata kidogo???

  Tunapiga vita umaskini kweli au twauongeza?? Jamani hebu tuwe makini kidogo hii historia itakuja kutuhukumu sana kama hatutatimiza wajibu wetu. Wasomi hebu tufanye kitu fulani kwa ajili ya NCHI YETU.
   
 14. Ndanda to Lomwe

  Ndanda to Lomwe Member

  #14
  Oct 15, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  GT aaaacha Udaku,wewe unataka tu kumpaka huyu mzee 6 kama ambavyo umekuwa ukifanya kwenye post zako za huko nyuma.

  Kabla ya kikao cha CPA kunza mzee Sitta na kamati yake waliitisha kikao na waandishi wa habari akatoa maelezo mazuri sana juu ya ngarama za huu mkutano kuwa ni shs bil 3,kati ya hizo bil 1.5 zilitoka ofisi ya bunge na bil 1.5 zilitolewa na serikali.Alimshukuru sana pia mh.kikwete kwa ku facillitate hilo,Ikumbukwe kuwa kikwete alikuwa mlezi wa CPA kipindi ambacho mzee 6 alikuwa Rais wa CPA .
  Katika kikao hicho na waandishi wa habari pia alieleza jinsi gani hela hiyo ingerudi ambapo alisema kila mjumbe kati ya hao 800 alitakiwa kuchangia $3500, na pia kungekuwa na economic gain kwa watanzania kwa biashara ya utalii na malipo mbali mbali kwa watu mmojammoja ambao kwa njia moja au nyingine watatumika katika kuhudumia wageni wakati wote wa mkutano huo.sasa GT 4 mil dola hapa iko wapi.?
   
 15. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2009
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Tupo hapa kuhabarishana mambo ya msingi na si haya ya kwako yaso kichwa wala kiuno na miguu. Leta proof (hata kama ni hafifu) ya huu utumbo uliotuandikia.
   
 16. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wewe nawe fisadi tu.

  The only reason you are speaking this way is because you did not get any of the action. You are not against ufisadi in principle, only mad because you cannot prostitute your morals, if you have any.
   
 17. M

  Magezi JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  GT naona sasa unazeeka vibaya
   
Loading...