Weka ushahidi hapa wa kuwa wewe unafikisha 3mbps.
FaizaFoxy
Unachokilalamikia wewe hapa Ni unlimited bundle uliyojiunga !
Kwamba ina speed ndogo !
Sidhani kama unamaanisha speed ya vodacom ni ndogo kwa vifurushi vyote !
Na hata hiyo speed unayoisemea wewe kwa kifurushi hicho cha unlimited !
Kuna wengine wanapata speed nzuri tu mwanzoni baada yakujiunga !
Ndomana nikakwambia ujiulize kwanini hiyo speed iwe kwako tu
Na binafsi sina uteja na Vodacom !
Nikimaanisha hiyo screen shot unayotaka nikuwekee !
Na binafsi siwekagi screen shot mana najijua ni muongo !
Naweza kukuwekea screen shot yoyote uitakayo !
Hata 50MBps
Mfano ! --->
screen attachment kuweka sio kazi kama unaitaka hiyo ya 3MBps
Karibu voda.. 3Mb/S Better than 320kb/s
Kiukweli kwa takribani wiki moja na nusu hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa sana tunapozungumzia kasi ya internet kwa hawa tigo, yani zamani spidi ya kudownload kawaida mchana 60 kb/s ila kwa sasa nmeshangaa sana spidi average ya kudownload inaenda 320 kb/s.
Kiukweli wamejitahidi sana yani jana nmedownload movie ya gb 1 at a satisfying speed hongereni sana tigo.
Nafikiri watu wapewe somo la KB/sec au KBps na Kbps au MB/sec au MBps ndo tutaenda sawa kabisa.....
Speed unayoiona kwenye dashboard/interface ya modem inapimwa kwa "bits" na sio "bytes"
Megabytes per second=MBps
Megabits per second =Mbps
Hivo hapo ni vipimo tofauti na vinamaana tofauti...
sasa wewe faiza kama huwa unaishia 600kbps kwa hapa Dar ujue modem yako imesetiwa kusoma EDGE only i.e 2G
Vinginevyo 3Mbps kama unadownload kitu na Voda lazima uififikishe
sasa wewe mbona unatuwekea screen shot ya kucopy vitu na sio ku download???hata kama mi sio mkali wa ivi vitu usitudanganye kitoto ivo
hiyo speed ya downloading au ile ya kusoma kwenye dashboard?
Kwa hiyo huyu katudanganya:
ni hatari me huwa nafika huku ila mida ya usiku
View attachment 160961
Sio mbaya sana lkn speed ya dashboard haifanani na Speed ya kupakua kwenye IDM 2.6Mbps maana yake kwa IDM inabidi isome 300KB/sec
kwa maneno speed yako ulipomaliza kufanya capture hapo hapo ikashuka mpaka 300KBps na hii ni challenge kwa network za 3G yaani speed zinafluctuate mno
yeah up... kuna muda inashuka mpaka 300KB/sec...
unafanyaje izo convertion rate za kwenye dashbord na idm
Mitaa ya kwetu usiku wa sita TIGO nyepesi kama vile 4G hivi ya smile
sijaona msamiati hapo ndo nishindwe kuelewa wee umeambiwa weka screen shot ya jinsi unavo shusha vitu kwa speed kubwa unajifanya unajua kudanganya afu unatudanganya kitoto
chief-mkwawa na Mwl.RCT tupeni neno lolote kuhusu hii speed mkizingatia ni tigo
Hajadanganya !
Hicho ndicho anachokiona yeye !
Nimekwambia pale juu jiulize kwanini wewe tu ?
wadau najua sana hio mitandao mingine ina spidi ila bure hupati au nyie mnapiga bure