Taarifa zilizopo yupo anapanda mlima Kilimanjaro! Je amekwisha shuka mara tu au ndo kazidiwa na kuishiwa pumzi au ndo.............. Tayari?
suala la kupanda mlima kilimanjaro lilikuwa kwenye ratiba siku nyingi
Kila nikiulazimisha ubongo wangu kukuelewa inakuwa ngumu sana, yaani swala la madaktari na kupanda mlima priority ya Rais ni kupanda mlima kwa sababu lipo kwenye ratiba ya muda mrefu?suala la kupanda mlima kilimanjaro lilikuwa kwenye ratiba siku nyingi
apande mlima kilimanjaro?miguu yenyewe haina nguvu ya kuhimili kusimama itakuwa kupanda mlima !!! hebu nipisheni hapa....
Kwa hiyo unaamini kabisa JK atafika Gilmans Point? Leo hii ?Wakati alishindwa alipokuwa askari? Hebu muangalie vizuri
Ni Ridhiwani anawahi Airport from Lugoba. Anaenda SA kuna kajumba walikanunua, anakakarabati sasa!!Fanya utafiti vizuri ujue alikuwa kiongozi gani , JK yko Moshi anapanda mlima kilimanjaro.
Kila nikiulazimisha ubongo wangu kukuelewa inakuwa ngumu sana, yaani swala la madaktari na kupanda mlima priority ya Rais ni kupanda mlima kwa sababu lipo kwenye ratiba ya muda mrefu?
Mbona JK huyu huyu alikatisha ziara yake South Africa kwa ajili ya kuja kuwahi kumzika yule mchawi wa magomeni Mwembe chai?
JK yuko moshi na sasa hivi anafungua mkutano mkuu wa maofisa waandamizi wa polisi unaofanyika chuo cha taaluma cha polisi - Moshi Police Academy zamani kikijulikana kama CCP! ww huyo ulomuona ni JK wako unayemfahamu!Bado yuko milima Kilimanjaro anashuka kesho bila shaka ni kiongozi mwingine aliyeonekana huko Tabata.
Fanya utafiti vizuri ujue alikuwa kiongozi gani , JK yko Moshi anapanda mlima kilimanjaro.
JK yuko moshi na sasa hivi anafungua mkutano mkuu wa maofisa waandamizi wa polisi unaofanyika chuo cha taaluma cha polisi - Moshi Police Academy zamani kikijulikana kama CCP! ww huyo ulomuona ni JK wako unayemfahamu!
Taarifa za KIINTELIJENSIA zinasema kuwa, JK hakupanda mlima kabisaaaaaaaaaaaa! Aliwasindikiza tu na aliishia pale getini Marangu. Jana jioni alipanda pipa kurudi bongo daslam! Inawezekana anaelekea airport JKNIA kuelekea Russia kuhudhuria sherehe za kuapishwa rais mchaguliwa wa Russia, Vladimir Putin!
Nadhani amemuona yule mzee makamo wa rais,msafara wake ni kawaida kwenda kasi na magari kibao.labda wa mkulima anapiga misele mkuu si hayupo
JK yuko moshi na sasa hivi anafungua mkutano mkuu wa maofisa waandamizi wa polisi unaofanyika chuo cha taaluma cha polisi - Moshi Police Academy zamani kikijulikana kama CCP! ww huyo ulomuona ni JK wako unayemfahamu!
Wakuu salamu,
Muda huu umenipita msafara wa JK hapa maeneo ya Tabata dampo. Msafara ulikuwa na magari zaidi ya 30 na difenda za Presidential Protective Unit kama 8 hivi. Wamepita kwa spidi kali pengine kuliko kawaida ya spidi ya Presidential motorcade jambo ambalo limewashangaza wengi hapa.
Gari hizo zimetokea maeneo ya Ubungo na zimeelekea Tazara/Airport.
Kwa wale wenye taarifa mtujuze;
1. Bwana mkubwa anaelekea wapi?
2. Kwa nini msafara ukimbie kwa spidi ile? (spidi ilikuwa si chini ya 160kph).
3. Kwa nini leo amebadili njia na kutumia njia ya Mwenge-Ubungo-Tazara-Airport? (Njia ambayo huwa anatumia mara nyingi akiwa anaenda Airport ni Nyerere Road, leo mbona amezunguka hivi....kulikoni?
Wenye taarifa tafadhali.
all in all awe moshi au dar jk anatutesa sana watanzania,cjui dhamira ya roho yake iko wapi kwa watanzania,it seems we have no president