🐘💚 She's got the cutest dance partner in the whole jungle... Drums beating, the whole tribe cheering, and her best elephant friend right by her side 🥹🌿 This is pure, unfiltered joy. If this made...
Baada ya mtoto huyu aitwaye Nevada kufukuzwa kikosini akicheza mpira kutokana na kuonyesha uwezo wa hali ya juu kumiliki mpira Kwa muda mrefu akiwa uwanjani na kufunga magoli kama alivyo Messi wa Argentina huku wenzie wakitumia muda mrefu bila kugusa mpira.
Hali hiyo iliyo pelekea wazazi wa watoto wengine kuita polisi wakihisi mtoto ana wanyanyasa wenzie, Sasa rapa mkongwe wa Marekani, 50 cent Ameandika;
"kinachotakiwa mtoto aendelee kusimama yeye kama yeye kwa sababu hicho ni kipaji alichopewa na Mungu ndiyo maana wengine wanaona si haki, kiasi kwamba anawagaragaza hadi wazazi wao wanaishia kuita polisi, Sasa mna Mchukia Kwa kipaji alicho pewa na MUNGU?"
Pia rapa mwingine, Jay Z ametangaza kumhitaji mtoto huyo Ili kuendeleza kipaji chake Cha soka.
<<<<
Kila siku huwa nasema hakuna jambo Lina tokea bila sababu, linaweza kuwa Baya ila kumbe lime beba hatima yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.