Spesheli kwa watu8

Spesheli kwa watu8

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1419792079906.jpg
 
Unamtakia mema kweli? Hatokuwa nane tena hiyo ni kumi na mbili
 
Siwezi tamani hii pikipiki iingie Bongo...watu watasagika kama mahindi barabarani....
 
Boda boda zikishafikia huko itabidi abiria tuanze kupewa tiketi....ikifuatiwa na uzalishaji wa viungo bandia uongezwe maana ni wakati ambao vitakuwa na soko sana sambamba na magongo...
 
Mkuu bila shaka hii ni zawadi ya mwaka mpya :becky:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom