sperm analisisy! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sperm analisisy!

Discussion in 'JF Doctor' started by ossy, Jul 2, 2011.

 1. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  wakuu hiv vipimo(sperm analysis) vinalengo gani? Hapo docta anataka kujua nini'? Naomba msaada please!
   
 2. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kiwango yaani sperm count na nguvu ya hizo sperm
   
 3. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Hiyo inahusiano gani na maumivu baada ya kudo!!
   
 4. hKichaka

  hKichaka Senior Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tatizo la kitaifa hili
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  inawezekana dr anakuwa hajui shida ni nini kwa hiyo anajaribu kuangalia kama anaweza pata clue. angalia Periodic tip of penis pain after ejaculation, burning - STDs - MedHelp, ni tatizo lililopo kwa kiasi lakini unashauriwa umuone ''urologist'' . inasemekana kujilazimisha kupata haja kubwa mara baada ya tendo inasiaidia kupunguza hayo maumivu.
  kuhusu sperm analysis nia ni kuangalia idadi (count), speed na hata morphology (mikia inahuu hapa, khabari yake konyagi na valuu bana!).
   
 6. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  vyakula tunavyokula!!
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,917
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Hicho kipimo kinachukuliwaje wajameni?
  Ina maana Dakta anakuambia upige bao ndio anapima hizo speed au?
  Na lengo lake hasa ni kuangalia nini?
   
 8. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,788
  Likes Received: 6,301
  Trophy Points: 280
  Yes, utapiga bao na kucollect sperms kwenye kichupa.
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  usiombe hicho kipimo..
  Unatakiwa ukae siku tano bila ku do...
  Halafu upige bao ,bao liingie moja kwa moja kwenye kichupa
  ndani ya saa moja bao liwe maabara linachunguzwa

  sasa pata picha unaishi gongo la mboto,kipimo muhimbili..
  Au kupiga bao kwa mkono kwako ishu lol
   
 10. s

  shosti JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kwani watoa kwa mkono...mbona nsahona mtu anaingizwa kidole .......halafu anapiga bao,halafu kinafanyiwa hospital
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  khaa! ww shosti acha kuwaogopesha watoto wa wanawake wenzio! ulikuwa kwa wapi hadi ukaona kidole chaingizwa kwa wapi?!alivyosema the boss ni sawa,except ni 2 hrs inatakiwa kuwa hosp!
   
 12. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,917
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Mi nikajua Dakta anakuwa na tochi kama zile za Matrafiki likiwa linakuja tu analicheki speed yake. Lol
  Hivi lengo hasa la hicho kipimo ni nini?

  Bana ee, kwani lazima kupimwa hizo sperm Bana?
  Mbona masharti yanaonekana hayatekelezeki haya...!!!!!!!!
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  wewe hatuzungumzii hospitali za mombasa hapa lol
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  khaa! the boss na ww umeanza sasa!
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Jibu hili hapa. Ni njia mojawapo ya kutatua tatizo la ugumba. sio mnalaumu mwanamke tu wakati risasi zina shida:mimba: :mimba:

   
 16. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,917
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Ahaa, sasa Da' King'asti kuna sehemu umesema Konyagi na Valuu ndiyo habari yake; ulikuwa na maana kuwa hivyo vilevi vinatoa guarantee ya kutokuwa mgumba au niaje hasa?
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  ndugu,hivyo vinywaji vinaongeza ama kuchangia ugumba! unywaji wa pombe kupita kiasi ( kwa maana ya kiasi kikubwa cha alcohol) inachangia utengenezaji wa hormone oestrogen (ambayo inapaswa kuwa kidogo kwa wanaume na kiasi kikubwa kwa wanawake). hii inachangia utengenezxaji wa sperms kuwa kidogo.matumizi ya pombe kali pia yanahusishwa na kukatika kwa mikia ya sperms (kumbuka kuwa flagella/mikia ndio husaidia sperms kutembea kama nyoka afanyavyo). ulevi pia unachangia kwa kupunguza libido (hamu), na pata picha baba unarudi home chicha,ukiangusha gari unakoroma so hata muda wa kukutana nao unakuwa affected (from social point,ulevi una madhara kwa amani ya mwanamke kiasi kuwa inaweza hata kuchelewesha conception)

  kwa ufupi angalia vitu vinavyoweza kuharibu sperms count.
  • Tight trousers and underwear, synthetic material and heat: It has been suggested that all these adversely affect fertility, so get out those baggy cotton boxers! Keep the family jewels cool. It is known that the testes function most effectively (including the production of sperm) at slightly cooler than core body temperature.
  • Hot tubs and saunas: Frequent use of hot tubs and saunas may lower sperm counts, as heat may decrease sperm production.
  • Alcohol: Alcohol consumption can damage sperm production in a couple of ways. First, it may increase the production of estrogen by the liver, which can lower sperm count. Also, alcohol can directly poison the sperm-producing cells of the testicle. Limit your alcohol intake when you are trying to improve your fertility.
  • Drugs: There are a number of drugs that affect male fertility, including steroids, cytotoxic drugs used in cancer treatments, and opiates. Contact your family doctor if you are on any long-term medication that you are worried may affect your fertility. Doctors should always inform you of any side effects, but it is always easy to check if you have forgotten.
  • Environmental toxins: There is quite a lot of conflicting evidence about environmental substances that may cause damage to sperm. It is known that radiation causes damage and birth defects. Other substances thought to have a detrimental effect on sperm are some perfumes containing phthalates, some types of pesticides, organic mercury, polychlorinated biphenyls, and estrogens in water supply. Many of these substances are still the subject of ongoing research.
  • Smoking: Smokers have been shown to have diminished fertility compared to non-smokers. Smoking may adversely affect the sperm's movement, as well as the health of the sperm.
  • Time of day: Sperm counts are higher in the morning.
  • Excessive ejaculation and prolonged abstinence: Both are known to affect the number and quality of sperm. Intercourse every 2 to 3 days helps ensure optimal sperm count and health.
  • Diet: A healthy balanced diet is important. Foods rich in antioxidants may promote optimal sperm health.
  • Supplements: Folic acid, selenium, and zinc sulfate have been shown to improve sperm counts and sperm function.   
 18. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ni kweli usemacho kuna rafiki alienda India kwa matibabu ya ugumba akashindwa kutoa sperms akaja nesi akapaka mafuta kwenye kidole na kuingiza tundu la nyuma na sijui aligusa wapi jamaa anasema kichupa kilijaa.
   
 19. s

  shosti JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mi nashangaa walivyonishushua nikaona isiwe taabu...wakati nimeona kwa jicho langu!
   
 20. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Vitoto vingi humu akisikia kidole kinaingia huko anadhani ushoga haya ni matibabu.
   
Loading...