NjalangiJr
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 251
- 88
Viroba +banana+mataputapu.Mbona hujampa pole Emanuel Buhohela ? ambaye aliripoti mikutano ya magufuri kwa mbwe mbwe na kwenye hii rist hajafikiriwa? ...
Hii rist =Hii list
Viroba +banana+mataputapu.Mbona hujampa pole Emanuel Buhohela ? ambaye aliripoti mikutano ya magufuri kwa mbwe mbwe na kwenye hii rist hajafikiriwa? ...
Kwani alikuambia anataka ukuu wa wilaya?
Lkn si ume elewa wee team kilaza?Viroba +banana+mataputapu.
Hii rist =Hii list
Wewe Ngonyani umepewa nini? Watu millioni 47 wote tuwe ma DC, RC mawaziri, nani atakuwa lumpeni?Ni mtangazaji wa ITV na radio one.
Naandika kumpongeza kwa kusimamia taaluma yake na kuwa mkweli kwa kusema hii ni njano na kweli ni njano.
Pia nampa pole kwa vile kuna makada wa CCM walikuwa naye pale ITV wamepata nafasi ktk serikali ya mkuu wa kaya, yeye akionekana mithili ya "mpinzani" kwa vile tu alitumwa na mabosi wake kureport habari za mgombea wa CHADEMA ktk msafara wake.
Nampa pole kwa hilo, daima asijihisi mnyonge na kukata tamaa. Asiogope. "maji yakijaa kwenye kikombe humwagika".