Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,015
Ni mtangazaji wa ITV na radio one.
Naandika kumpongeza kwa kusimamia taaluma yake na kuwa mkweli kwa kusema hii ni njano na kweli ni njano.
Pia nampa pole kwa vile kuna makada wa CCM walikuwa naye pale ITV wamepata nafasi ktk serikali ya mkuu wa kaya, yeye akionekana mithili ya "mpinzani" kwa vile tu alitumwa na mabosi wake kureport habari za mgombea wa CHADEMA ktk msafara wake.
Nampa pole kwa hilo, daima asijihisi mnyonge na kukata tamaa. Asiogope. "maji yakijaa kwenye kikombe humwagika".