Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
- Thread starter
-
- #61
Nashukuru mkuu kwa ushuhuda wako, nimeona yako ni kb 858 zaidi hata ya hiyo niliyosema mimi.nashukuru maana humu watu hawaelewi.Speed inategemea na sehemu ulipo hii ndio speed ninayopata kwa airtel TZView attachment 56659
Kwa Hesabu rahisi tu mkuu mie nafanya ulikua unadownload 800kb/sec na file lako lina 34.441mb chukua 34.441x1024kb ili tupate jumla ya kb halafu tugawe kwa speed yako. Tunapata 35267.584kb ukigawa kwa 800kb/sec tunapata 44.08 seconds kudownload hiyo 34mb. Sasa mkuu hii speed inaonekana net ili shake so wakati inarudi ikaboost kwa ku kuread data ambayo ilikua imesha kuwa downloaded ikaisoma kwa kasi Tena kwa taarifa yako hata 1.6mb/sec inawezekana kwa hiyo situation lakini inafall very fast.
Kwa hizo mb 34.441-20.916=13.525mb which is equvalent to 13,849.6kb tukigawa kwa 800kb/sec tunapata 17.31 seconds na sio 31sec kama inavyoonyesha. kiuhalisia ww unaopata 400kb/sec tena unaipata kwa shida sana.
Hiyo nimetumia speed ya 800kb/sec cjatumia ile ya 858.843kb/sec.
Mkuu kajipange tena.
fadhili paulo
kwa spiid ya 800kb/s hapo sina maneno,hii is very right. ila alituma screenshot ya speed 461kb/s ndio nikasema haiwezekani kuchukua mda huo.paje 800kbps yani ina maana 800 kilo bytes kwa kila sekunde 1
800kb --- sekude moja = 800kb
800kb--- sekunde 10 = 8mb
800kb --- sekunde 100= 80mb
Sekunde 100 = dk 1 na sekunde 40 so ina maana ni chini ya dakika 2 he is right paje
Habari jf
Nichukuwe fursa hii kukiri kuwa tangu nimeanza kutumia internet, sijawahi kukutana na internet ya speed kubwa kama hii ya airtel ya sasa, sijawahi. File la ukubwa wa mb 87 ndani ya dk 2 limeshushwa!!!, mnasemaje nyie wanajamvi?.
Jamani huyu bwana ni Mdau wa Airtel,kwa mfano mimi ninazo Moderm zote za Airtel,ya zamani na hii ya kizushi eti 3.75, cha ajabu sijawahi kupata spidi hata theluthi ya hiyo, kwa Wanajamvi ambao hamjanunua tafadhali msikurupuke kwa Posti kama hizi hawa watu wanakuwaga wametumwa kufanya Promo humu.Airtel ninawajua inside out,na hz moderm zao mpya wamezilock ukifosi settings ili i preffer WCDMA option hiyo hai respond kwa hiyo imefungwa.Chunguza kwanza kabla ya kununua la sivyo utakuja ulie kama sisi wengine
Kweli kiswahili kigumu, nimeamini. Sasa hiyo screenshot ni ya kwangu?, tatizo watu wanasumbuliwa na BP humu wengi sana. Screenshot niliyoweka mimi inaonesha ninadownload file la ukubwa mb 68.327 ambayo ni sawa na kb elfu 68327. IDM inaonesha transfer rate ya kb 461.041 na itatumia dk 3.12.
Kwa Hesabu rahisi tu mkuu mie nafanya ulikua unadownload 800kb/sec na file lako lina 34.441mb chukua 34.441x1024kb ili tupate jumla ya kb halafu tugawe kwa speed yako. Tunapata 35267.584kb ukigawa kwa 800kb/sec tunapata 44.08 seconds kudownload hiyo 34mb. Sasa mkuu hii speed inaonekana net ili shake so wakati inarudi ikaboost kwa ku kuread data ambayo ilikua imesha kuwa downloaded ikaisoma kwa kasi Tena kwa taarifa yako hata 1.6mb/sec inawezekana kwa hiyo situation lakini inafall very fast.
Kwa hizo mb 34.441-20.916=13.525mb which is equvalent to 13,849.6kb tukigawa kwa 800kb/sec tunapata 17.31 seconds na sio 31sec kama inavyoonyesha. kiuhalisia ww unaopata 400kb/sec tena unaipata kwa shida sana.
Hiyo nimetumia speed ya 800kb/sec cjatumia ile ya 858.843kb/sec.
Mkuu kajipange tena.
fadhili paulo
Sasa naanza kuijuwa jf. Kwanini isiwepo mkuu? ndivyo ninavyoandikiwa hata mimi katika modem yangu, option hiyo wala sikuiforce wala kuiconfigure nilinunua ipo configured hivyo kila wakati.Unajua maana ya WCDMA??? Wana jamvi hebu nielezeni Airtel wana WCDMA band hapa nchini kwetu???
Duh! umetukana kabisa mkuu, naamini sasa nilikuwa na haki kulileta hili, kumbe wengi sana bado mnahangaika.Acha uongo we mbwiga MB 87 ndani ya dk. 2 ni uongo mkubwa tena wa kupindukia. Kwa taarifa yako sasa hivi Airtel modem kipindi hiki ni hovyo sana na wala haifai kuipa sifa hizo.
Mkuu mi mwenyewe nipo Dar, nikikuarika ninapoishi unaweza kuja ku-prove kwa macho yako?hapa hapa DAR airtel wanaspidi ya kinyonga au kobe. na maeneo mengine wana rockin speed
Jamani huyu bwana ni Mdau wa Airtel,kwa mfano mimi ninazo Moderm zote za Airtel,ya zamani na hii ya kizushi eti 3.75, cha ajabu sijawahi kupata spidi hata theluthi ya hiyo, kwa Wanajamvi ambao hamjanunua tafadhali msikurupuke kwa Posti kama hizi hawa watu wanakuwaga wametumwa kufanya Promo humu.Airtel ninawajua inside out,na hz moderm zao mpya wamezilock ukifosi settings ili i preffer WCDMA option hiyo hai respond kwa hiyo imefungwa.Chunguza kwanza kabla ya kununua la sivyo utakuja ulie kama sisi wengine
Nilituma screenshot tofauti na ile niliyoitaja (mb 80) katika first post kwakuwa ile ya mb 80 jina la hilo file nisingeweza kuliweka public kwa sababu za kimaadili, badala yake nikaweka jingine la mb 68 kwa dakika 3. Utaona mwenyewe dk 3 ni sekunde 180, sekunde 180 x 460 = 82800, kwahiyo kama speed itabaki constant au iongezeke kwa sekunde 1, bado dk 3 ni nyingi???!!!. Sijuwi kama unanielewa.kwa spiid ya 800kb/s hapo sina maneno,hii is very right. ila alituma screenshot ya speed 461kb/s ndio nikasema haiwezekani kuchukua mda huo.
Habari jf
Nichukuwe fursa hii kukiri kuwa tangu nimeanza kutumia internet, sijawahi kukutana na internet ya speed kubwa kama hii ya airtel ya sasa, sijawahi. File la ukubwa wa mb 87 ndani ya dk 2 limeshushwa!!!, mnasemaje nyie wanajamvi?.
mpaka sasa ni kama mimi na wewe tu ndo tunaenjoy speed hii, wengi wanatukana kabisa. inafaa kujipongeza mkuu kama nilivypfanya kulileta hapaSpeed inategemea na sehemu ulipo hii ndio speed ninayopata kwa airtel TZView attachment 56659
Sasa naanza kuijuwa jf. Kwanini isiwepo mkuu? ndivyo ninavyoandikiwa hata mimi katika modem yangu, option hiyo wala sikuiforce wala kuiconfigure nilinunua ipo configured hivyo kila wakati.
Basi mwanza wanaonewa sana mkuu, basi bila shaka umejionea mwnyewe mkuu.I was just asking Mkuu, WCDMA ni band imara na tofauti na zile za GSM ndo maana nikaomba kuhakikishiwa kama Airtel wanatumia band hii. Pia WCDMA itakua maeneo machache ichini, Mfano MiMi niko Mwanza lakini nakamata band za GSM pekeyake.
Bahati mbaya sipo kubishana, Fanya calc hizi 6.72x1024=6881.28 6881.28/8=860.16 Kama ni mwelewa umeelewa