staff wao nn,mbona mm yangu ipo slow mnoo,u tube video inakatakata kinoma hadi inaboa sasa
Niko zangu magomeni, AIRTEL hata 3G haikai vizuri mara inapotea, na speed yao nimeiona kama kubwa kweli, mana nlikuwa na download file ta around 142MB kwa speed ya 0.8kb/s magomeni iyo.
Habari jf
Nichukuwe fursa hii kukiri kuwa tangu nimeanza kutumia internet, sijawahi kukutana na internet ya speed kubwa kama hii ya airtel ya sasa, sijawahi. File la ukubwa wa mb 87 ndani ya dk 2 limeshushwa!!!, mnasemaje nyie wanajamvi?.
staff wao nn,mbona mm yangu ipo slow mnoo,u tube video inakatakata kinoma hadi inaboa sasa
ilo file lita complete ku download 2014.
Hizi modem zinawekwa line za simu, hivyo zinategemea minara ya simu, eneo ulilopo ukiona network ya internet inasumbuwa sana utaona hata ukipiga au kupigiwa simu eneo hilo network inasumbua, si ajabu ukikaa chumba kingine au nje ya nyumba yako speed inaweza kubadilika, mi nipo nje kabisa ya jiji chumbani kwangu ndiko speed hiyo naipata, utashangaa hata nikiwa posta au kariakoo bado speed ninayoipata haizidi ile ya nyumbani, inaonekana mnara uliopo eneo hili una nguvu sana au unawatumiaji wachache wa net. Ningeweza kukutana nawe ana kwa ana nijuwe tatizo hasa bali siwezi kwa sababu binafsi.Niko zangu magomeni, AIRTEL hata 3G haikai vizuri mara inapotea, na speed yao nimeiona kama kubwa kweli, mana nlikuwa na download file ta around 142MB kwa speed ya 0.8kb/s magomeni iyo.
Sifanyi kazi airtel na haitakaa itokee nifanye kazi na airtel, huu ni ukweli mtupu, subiri nijifunze kuandaa screenshot ndo utaaaminiBila shaka ww ni Airtel agent uko kazini kuvuta wateja.
MI kwenye youtube naangalia video utadhani zipo offline kumbe online, hili ni moja ya vitu vilivyonishangaza pia. Hai-stream kabisa, ikianza imeanza. Kama wengi wanalalamika basi najipongeza sana binafsistaff wao nn,mbona mm yangu ipo slow mnoo,u tube video inakatakata kinoma hadi inaboa sasa
Nashukuru sana mkuu kwa post yako, nikweli nilikuwa sijuwi lakini kumbe ni rahisi sana, nimesoma hapa: Take a screen shothapa sidhani kama hata ataelewa unamaanisha nini
Nashukuru sana mkuu kwa post yako, nikweli nilikuwa sijuwi lakini kumbe ni rahisi sana, nimesoma hapa: Take a screen shot
Ahsante kwa kukiri kwako mkuu, kwanza mi situmii download accelerator, mi natumia IDM (Internet Download Manager). Nakuwekea hapa screenshot ya upload na download speed yangu kama ulivyotaka, sasa hivi nimeitest hiyo:asante kushukuru, asante pia kwa ile screenshot, naona ulikua unatumia download accelerator, nimeelewa fadhili, jaribu pia na speedtest.net kujua download speed na upload speed ya connection yako