Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
hapa sidhani kama hata ataelewa unamaanisha niniscreenshot tafadhali...
Mbona Airtel wiki chache hizi imekuwa kimeo mkuu!! Au wewe umetumwa nini?
Habari jf
Nichukuwe fursa hii kukiri kuwa tangu nimeanza kutumia internet, sijawahi kukutana na internet ya speed kubwa kama hii ya airtel ya sasa, sijawahi. File la ukubwa wa mb 87 ndani ya dk 2 limeshushwa!!!, mnasemaje nyie wanajamvi?.