Hili neno, maana modem zenye uwezo wa 4G bei iko juu zaidi.Yaani badala ya kununua modem kwa 30,000/=, chukulia umenunua modem kwa 48,000 yenye uwezo wa kupiga simu, kusoma sms na GB za bure mwaka mzima.
eti kanaweza kuangalia video youtube? au kanachagua baadh ya vdeo. naomb jibuNimenunua ya voda, kwanza ni 3G na sio 4G
Imetengenezwa na kampuni inaitwa AZUMi na model ni L3K
Unatumia mfumo endeshi wa KaiOS kama simu za nokia feature phones mfano banana phone na zingine
Inatumia chip ya mediatek, sikumbuki vizuri ila ni 65xx
Basically ni simu ya tochi usitegemee chochote cha ajabu
Ina whatsapp na social network apps ambazo unaweza kuinstall na ku uninstall kutoka app store yao.
Kitu nilichopenda ni uwezo wa ku sync contacts kutoka google na Live
Spidi ni ya simu ya tochi
Hitimisho, inaenda sawa na gharama unayolipia, by the way, voda walinipa bando 4Gb, dakika nyingiii na sms kibao
Nadhani ya tigo nayo ni kutoka azumi ila ni version ya 3GView attachment 1263461View attachment 1263462View attachment 1263463View attachment 1263464View attachment 1263465View attachment 1263466
eti kanaweza kuangalia video youtube? au kanachagua baadh ya vdeo. naomb jibu

Nasubiria mrejesho wa hizo gb zinakuwaje
Dogo umetoka lini burundi! Una cheti cha ukimbizi?nitafute kwa namb hizi 0768230775...nikuelekeze jinsi ya kupat hizo gb...
Mwezi huu nakachukuaNimenunua ya voda, kwanza ni 3G na sio 4G
Imetengenezwa na kampuni inaitwa AZUMi na model ni L3K
Unatumia mfumo endeshi wa KaiOS kama simu za nokia feature phones mfano banana phone na zingine
Inatumia chip ya mediatek, sikumbuki vizuri ila ni 65xx
Basically ni simu ya tochi usitegemee chochote cha ajabu
Ina whatsapp na social network apps ambazo unaweza kuinstall na ku uninstall kutoka app store yao.
Kitu nilichopenda ni uwezo wa ku sync contacts kutoka google na Live
Spidi ni ya simu ya tochi
Hitimisho, inaenda sawa na gharama unayolipia, by the way, voda walinipa bando 4Gb, dakika nyingiii na sms kibao
Nadhani ya tigo nayo ni kutoka azumi ila ni version ya 3GView attachment 1263461View attachment 1263462View attachment 1263463View attachment 1263464View attachment 1263465View attachment 1263466

fungua whatssap tuone maana naona kadogo sana .
Yah mkuu inawezekananimejaribu ku unlock kwa sasa sijaweza ila nimeona online model zingine za azumi zinaweza kuwa unlocked, na zinatumia os ile ile, that means hata hizi zinaweza kuwa unlocked.
mkuu Niko mbion kuleta somo so vuta subir yajayo yanfurahish

mkuu unataka uvujishe uzii etii ,, watu tunapiga kazi kuunlock network elfu 12000... nimejaribu ku unlock kwa sasa sijaweza ila nimeona online model zingine za azumi zinaweza kuwa unlocked, na zinatumia os ile ile, that means hata hizi zinaweza kuwa unlocked.