ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,913
- 2,967
Mkuu tunafanya unlock bila shida , nitafute ntakufanyia kazi .UncleUber
Vipi kuhusu ku-unlock. Inawezekana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunafanya unlock bila shida , nitafute ntakufanyia kazi .UncleUber
Vipi kuhusu ku-unlock. Inawezekana?
Simu nzuri sana hasaKwa walionunua hizi simu kwa siku za hivi karibuni na Chief-Mkwawa kuna lolote zuri limeongezeka kwenye simu za tigo kitochi kama vile update ya operating system na kadhalika?
1.Kama ni tigo kitochi naweza kutumia line ya tigo na Hallotel?(Namasnisha naweza kutumia line yoyote?)Simu nzuri sana hasa
1. Charge inakaaa kiasi
2. 4g ya ukweli haswa
3. Display iko vema unaona hata kwenye jua kali
4. Hot spot ni balaa huwa naunganisha device tano bila tabu yyote
5. Network yenye nguvu mnoo, nadaka 4g hata nikiwa porini au baharini
Madhaifu;
6. Haina fast charge
7. Ina laini mbili ila moja ndo 4g pekekee
Sijatumia kai os mda sana ila browsing ni kimeo, ipo ucbrowser store sema haifungui website zote.Kwa walionunua hizi simu kwa siku za hivi karibuni na Chief-Mkwawa kuna lolote zuri limeongezeka kwenye simu za tigo kitochi kama vile update ya operating system na kadhalika?
Hivi mkuu kwa sasa hivi mbadala wa hivi vitochi kwa maana ya perfomance na bei ni simu gani?Sijatumia kai os mda sana ila browsing ni kimeo, ipo ucbrowser store sema haifungui website zote.
Simu used mkuu, mfano Samsung galaxy grand prime za zamani sana unaweza ukaiotea sehemu bei nzuri chini ya laki.Hivi mkuu kwa sasa hivi mbadala wa hivi vitochi kwa maana ya perfomance na bei ni simu gani?
Hizi simu used huwa zinapatikana kwenye machimbo gani mkuu?Simu used mkuu, mfano Samsung galaxy grand prime za zamani sana unaweza ukaiotea sehemu bei nzuri chini ya laki.
Simu nyingi za 2014 zina 4G na bei zake zimeshuka sana.
Hakikisha tu band 3, 7 na 20 zipo ili upate 4G mitandao mikubwa na band 40 kama una matumaini na TTCL.
Mtaani, jiji, kupatana, Aliexpress, ebay etc. Used hazina Formula.Hizi simu used huwa zinapatikana kwenye machimbo gani mkuu?