Bonge moja la pointSasa yeye kakosea Nini?Yeye amepewa contract na kampuni yake ni ya kijeshi!
Kwanini wasitoke donge Hilo nono Kwa mtu ambaye atafanikisha kupatikana Kwa Putin?Maana yeye ndiye aliyesign waraka kuruhusu Wagner na majeshi ya Russia kuingia Ukraine!
Halafu makao makuu ya Wagner yanajulikana,pia Putin alipo panajulikana!
Zawadi nono hutolewa Kwa watu ambao wanatafutwa na hawajulikani walipo!
Huu ni ushenzi aliofanya Marekani duniani...lakini Kuna washenzi wanamshabikia na kumuona mtakatifu... Wakamatwe kwanza Hawa..au waendelee kunyooshwa na mwamba PutinKwa nini wasianze kuwakamata akina Bill Clinton kwa kuanzisha vita huko Yugoslavia, Bush Sr na Bush jr kwa kuhusika na vita ya Ghuba vilevile na kutumia mabom ya depleted Uranium yanayo sababisha cancer kwa vizazi na vizazi - akamatwe Nuland vile vile na seneta McCaine kama angekuwa alive kwa kuchochea mapinduzi na vita nchini Ukraine - madhambi ya hao hamuyasemi nyinyi masaa yote kuwakandia/nanga Putin na CEO wa Wagner Group mnajifanya kusahau atrocities na war crimes ambazo ziliwahi kufanywa na Western Nation na ushahidi hupo - eti mkamateni Putin.
Watu wengine bwana? Hivi mnamchukulia Putin kama kiongozi wa state ya 51 ya Merikani au, nani/taifa gani linaweza kuthubutu hata kujaribu kuifanya lolote Urusi,Putin au CEO wa Wagner Group, nani?? Kuna sababu maalumu kwa nini Urusi inajulikani kama Super power - hakuna taifa lolote Duniani linalo weza kuingia Urusi kivita -kumbuka kuna tofauti kubwa kati ya military operation na vita kamili - masuala ya SMO yanayo endelea huko Ukraine ni cha mtoto.
Kama ndio hivyo hata wao (Wagner) wanapata hasara kubwa sana ya vifo.Lengo la Wagner PMC ni ku grind jeshi la Ukraine.
Yaani kuwasaga saga, na hii ndio maana halisi ya demilitalization.
Kwa hiyo, ndio maana unaona wanawapiga taratibu.
Wanawakusana (encirclements) na kuwa grind (kuwasaga saga).
Yaani kila mara lazima wawa encircle.
Nadhani mbinu za Ukraine zinafanya kazi, hata wakiwaondoa basi ni kwa gharama kubwa sana.Hivi kweli Russia imeshindwa waondoa Ukraine hapo kwenye hicho kimtaa kidogo kuliko Sinza?
Kwa hiyo Ukraine wanawaua sana Wagner PMC. Lakini hapo hapo, Wagner PMC wanazidi kuchukua maeneo na Ukraine wanakimbia.Nimemueleza huyu dogo Nkuba25 anaesagwa ni Wagner na sio UA kama anavodai.
Hao wagner walikuja na tactic ya kuja vikundi vikundi wengi wanapigwa mpaka unachoka yani ni kama yale ma vietnam kwenye movie.
Ni naniWelcome to russiaaaa.....
Huyu jamaa ana maisha ya kipekee
Kimtaa gani ebu tuambie na sisi tujueHivi kweli Russia imeshindwa waondoa Ukraine hapo kwenye hicho kimtaa kidogo kuliko Sinza?
Inawezekana kuwa na many casuality na little gain ndiyo hii kama umeshawahi sikia. Yani wanakufa wengi zaidi halafu gain ni kidogo.Kwa hiyo Ukraine wanawaua sana Wagner PMC. Lakini hapo hapo, Wagner PMC wanazidi kuchukua maeneo na Ukraine wanakimbia.
Yaani wewe ndiye unampiga adui, lakini wewe ndiye unakimbia.
Je, jambo ili linawezekana vipi mkuu.
Wewe ukiwa hujui jambo haina maana halipo. Fuatilia upate maarifa.Weka hizo video au picha za hivo vikundi na jinsi wanavyokula kichapo, otherwise endelea na wishful thinking
Unaongeleaje hizo lossesInawezekana kuwa na many casuality na little gain ndiyo hii kama umeshawahi sikia. Yani wanakufa wengi zaidi halafu gain ni kidogo.
Ndomana unaona Wagner tangu week 2 zilizopita wanahangaika na Bakhmut.
Hao Ukraine wanakufa kidogo lakin wana retreat wapate position nzuri ya ku attack siku za mbele. Hivyo inawezekana acha kuwa na fikra finyu.
Kweli urusi inaogopeka kila kukicha watu wanajitetea balaa halaf mzee mzima kauchuna tu!!!!!EXPLAINED: Could a ‘Pro-Ukrainian Group’ Have Blown Up the Nord Stream Gas Pipelines?
The ongoing mystery of who carried out the attack has taken another turn after unidentified US officials were reported to have said it could have been carried out ‘off the books by a proxy force’.
Read more on our website.