Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Amenikumbusha Faza Nelly wa xplastaz, anakuambia "hii kamba ngumu" content nzima ya wimbo wao "nini dhambi" iko sawa kabisa na image aliyoichora kipanya mfano pale anapoongelea Mambo ya kuvutana na wenye vitambi no fair game.... Long live real Hip Hop maana huwezi habadani kutana na mashahiri kama haya kwa Wasafi nzima, Tip Top na wapumbavu wote wa gongo feva....
 
Picha imezungumza zaidi kuliko maneno. Naked truth! Ila hilo lidubwasha angeoliongezea kidogo jina liwe MHESABU KURA NA MTANGAZA MATOKEO
 
Hali ya mpiga kura ni hivyo da huyu jamaa nae anajihami nini inaendelea........
 
Picha imezungumza zaidi kuliko maneno. Naked truth! Ila hilo lidubwasha angeoliongezea kidogo jina liwe MHESABU KURA NA MTANGAZA MATOKEO
Three in One
Hiyo silaha kwa nyuma inawakilisha geshi letu la polish
Suti na miwani ni watu wasiojulikana
Rangi ya shati sina haja ya kuelezea

akili kichwani mwako
anaitendea haki sanaa yake..
 
Three in One
Hiyo silaha kwa nyuma inawakilisha geshi letu la polish
Suti na miwani ni watu wasiojulikana
Rangi ya shati sina haja ya kuelezea

akili kichwani mwako
anaitendea haki sanaa yake..
Ndanda Kosovo hasira zitakuwa zimeanza kumpanda
 
Hii ngoma kumbe unajua mkuu..siku hizi hawa vijana sijui wanaimba nini.

Video ya ngoma hii ndo video ya hiphop ya kwanza kufikisha 1M+ views youtube back in the days.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…