Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Namuona madereva pembeni hapo katulia tu anaenjoy sinema walioanzisha na dady yake
 
Huwezi mtupia mabegi kijana wakati mabegi hayo kayatunzia siri nyingi, utakuwa sawa na siri zako kuzimwaga!!

Kijana hana wasi, anasoma tu mbwembwe za hadaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…