Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,321
labda kwa vile hakuna kipanya chochote miongoni mwa vikatuni vinavyoonekana kwenye mchoro huu. labda...
Kuna yule dada alikuwa na jina nimelisahau!! Anakatika kulingana na mvuta kamba anavyotaka...Ha ha ha, kanikumbusha kuna vi midoli tulikuwa tunaviita mama nabela!
Controller unashika kamba unakuwa unavuta kamba kulingana na unavyotaka mdoli ucheze.
wewe una akili sanambona inaelewekayaani hawawezi kufanya maamuzi bila kamba inayoongozwa na mtu mwingine,yaani kifupi hawana uwezo wa kufanya lolote bila anayewa control kwa kutumia kamba kufanya hivyo
Joyce WoWoWoKuna yule dada alikuwa na jina nimelisahau!! Anakatika kulingana na mvuta kamba anavyotaka...
Ha ha ha, kanikumbusha kuna vi midoli tulikuwa tunaviita mama nabela!
Controller unashika kamba unakuwa unavuta kamba kulingana na unavyotaka mdoli ucheze.
niliwahi mkuta jamaa 1 pale tabora railway station akichezesha mziki wa bongo man, inde monie!Ha ha ha, kanikumbusha kuna vi midoli tulikuwa tunaviita mama nabela!
Controller unashika kamba unakuwa unavuta kamba kulingana na unavyotaka mdoli ucheze.
Walioteuliwa wote wana miskendo kibao
niliwahi mkuta jamaa 1 pale tabora railway station akichezesha mziki wa bongo man, inde monie!
Dc wa Hai,Mnyeti,Kashilila etcIna uhusiano na mteuliwa mwenye makandokando, jina malizieni