Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Masoud hana akili ni mirembe
 

Inachekesha, inakufanya ujitafakari, mimi nafikiri ni kwa ajiri ya kila mtu ajitafakari, vipi naelekea wapi? Nipo wapi? Naendelea kuzama au mambo yametuia.
 


Huo ni mtazamo wako, na mimi jirani yake Masoud nimetafsiri kuwa ananifikishia ujumbe kuwa maisha yangu hayapo kama zamani japo jana tu nimeongea naye nikamwambia nipo vizuri na familia yangu, lakini aliniona kabisa nina mapungufu si kama zamani
 
Acha 'uchawi' mkuu!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akufilie mbali huko.Jamaaa linajipa natumaini huku likizama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We are on the Light track..
 
Is it necessary kila jambo lihusishwe na Siasa, tena siasa chafu za kinafiki?! Worse enough you just confirmed mambo si mambo!

Next time just enjoy the cartoon, then flip to the next page, kuchukulia mavitu personal all the time ni kutengeneza sumu ndani yako mwenyewe ambayo kwa vyovyote vile at one time lazima ikurudie na kukumaliza wewe na "vyako" to the very last bit!
 
Hizi ni tafsiri za kijani
 
Tafsiri yako! Hiyo ni kazi ya fasihi mwingine atatafsiri vingine!!

Kizazi hiki kimelaaniwa, mtu mzima anakuwa na akili za kitoto kwenda kusema kwa mama au baba! Hata kama kujipendekeza huku kumepitiliza, jitambue ndugu
 
Kwanza,
Tuthibitishie kua Hali ya uchumi nchini ni mbaya.

Nijuavyo mimi

"hali yetu ya kiuchumi iko vizuri mno, tuko among top 10 fastest growing economy in Africa"

Mtoa mada wee ni mchochezi[emoji57]
 
meangalia katuni haina UHUSIANO wowote na SIASaa....hata katika mahusiano ya kimapenzi waweza sema nipo sawa kumbe unajilazimisha/walazimisha jamboo...katika familia tupo sawa (kumbe yapo matatizo nyumbanii), shuleni wanafunzi mmeelewa wanajibu NDIOooo wakipewa mtihani wanalaumuu/wanafeliii... KILA MTU na TAFSIRI yakeee

Mwanzisha mada ndo mchokoziii

BIG UPuuuuuuuuuuuu.... Kaka Kipanyaaaa
 
You really don't think beyond bro...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…