Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Uchonganishi na uzushi......hayo ni maoni na mtazamo wako si msimamo wala tafsiri ya watanzania wote
Mzee Kipanya anachora katuni za kisiasa, na mtu ambaye ananukuliwa akisema tupo vizuri kila siku ni Magufuli
 
Kwani wapi kaandika ni Rais ?! Usimtafutie mwenzio nissan na premio zianze kazi.

Hata hivyo huitaji kuuliza swali . Tembea uone mwenyewe
 
Jamaa ana kipawa cha hatari!
 


Wewe mtu acha uchochezi.
 
Umesema kweli mwingine anaweza tafsiri hiyo picha kuwa "hayo yalikuwa mashindano ya kuogelea mshindi ameinua mkono kuwapasha wenziwe kuwa ameshinda"!!!
Hakika Mkuu. Siku zote Katuni ni kitu ingine. Kuitafsiri si rahisi.
 
leo nilikua kwenye kikao samuwea kiongozi kahutubia kisha akasema tupo vizuri kiuchumi watu wakagomba walishauti. ila kilichoendelea mimi nililala usingizi kushtuka kikao kimeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…